mamananihii
Member
- Aug 23, 2014
- 48
- 17
Ili ndoa iwe sawa ni lazima wanandoa kulala wakiwa hawana kinyongo wala hasira hivyo basi kama kuna ugomvi ni lazima kuusuluhisha kabla hamjaiona siku mpya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati wa mshindo mkuuInakuwa kibubu2 tu!!! Hakuna makelele hapo
Na mimi niliwaza hivyohivyoHapo kwenye kupeana makavu ndio pabaya,mi naona km ndio yataongeza mchuniano zaidi..
Una akili sana ww lazima mume wako atakuwa amelamba joka sio galasa, kama hujaolewa basi mumeo mtarajiwa bahati inamsubiri.Kimaandiko hutakiwi kulala na chuki mpaka asubuh kunakucha, mkikwazana zungumzeni peaneni makavu kisha mnasameheana.
Mafahari wawili hawakai zizi moja.. Kwa hiyo hata kudo wanaandikiana kuwa nina genye kisha wanado wakimaliza tena wanaandikana asante au inakuwaje?? Dah... Sipati picha
Kuna siku nilimkorofisha mamaa sasa usiku nikamuomba mchezo.aisee alikuja kuniambia hakuna siku alijisikia raha kama siku hiyo. Nilishangaa sana.
​sipatii picha hapo katikati kiliendelea nni kwa mume au mke nje ya ndoakuna rafiki yangu walichuniana na mumewe 3 weeks
Una akili sana ww lazima mume wako atakuwa amelamba joka sio galasa, kama hujaolewa basi mumeo mtarajiwa bahati inamsubiri.
Samahani mkuu sijakuelewa.Inaitwa " silent treatment " it's a type of emotional abuse .She is bordeline.
Hapo kwenye kupeana makavu ndio pabaya,mi naona km ndio yataongeza mchuniano zaidi..