Chanzo cha kuvimba uume siku moja baada ya tendo la ndoa ni kiashiria cha nini?

Fabian Vitus

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2022
Posts
5,828
Reaction score
7,532
Ndugu Wana JF,

Kama Uzi unavyojieleza mwamba nimekutana na jambo, nimemshona mtoto wa mtu uko sasa siku iliyofuata natazama uume umeanza kujaa.

Matabibu mliopo umu msaada katika hili, tupanuane mawazo nijue nini kinanikabili. Kuna hali fulani ya maumivu tu, naomba mnifungue ubongo 🙏
 
Kama ulitumia condom, ni infection ya condom kutovalishwa vizuri utakaa sawa, na kama ulipiga kavukavu wahi hospitali ukafanye vipimo vya magonjwa ya zinaa.
 
Wewe umetoka kumpanua mtoto wa mtu miguuni, hapa unatuita tukupanue mawazo?

Carlos The Jackal
 
Kama ulitumia condom, ni infection ya condom kutovalishwa vizuri utakaa sawa, na kama ulipiga kavukavu wahi hospitali ukafanye vipimo vya magonjwa ya zinaa.
KUvimba tu hakuna matokeo mengine isipokua kadri kunavyozidi kuvimba ndipo maumivu yanapanda alafu ngozi ya kichwa cha penis iko na magamba ya ugumu kwa sehem
 
Binti alikiwa mkavu ukakamua kibabe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…