Chanzo cha kuvimba uume siku moja baada ya tendo la ndoa ni kiashiria cha nini?

Chanzo cha kuvimba uume siku moja baada ya tendo la ndoa ni kiashiria cha nini?

Game la mwisho Nina siku ya tatu sasa tangu nimepiga game jana siku ya pili ndio Hali Ikawa ngumu kabisaaa alafu dalili zake utasema uko na malaria au UTI vile maana mwili unakua hovyo
Hili swali la condom mbona unalikwepa kulijibu? Si ujibu tu kuwa hukuvaa!!

Vipi umepata nafuu?
 
Back
Top Bottom