Chanzo cha kuvimba uume siku moja baada ya tendo la ndoa ni kiashiria cha nini?

Chanzo cha kuvimba uume siku moja baada ya tendo la ndoa ni kiashiria cha nini?

Ndugu Wana JF,

Kama Uzi unavyojieleza mwamba nimekutana na jambo, nimemshona mtoto wa mtu uko sasa siku iliyofuata natazama uume umeanza kujaa.

Matabibu mliopo umu msaada katika hili, tupanuane mawazo nijue nini kinanikabili. Kuna hali fulani ya maumivu tu, naomba mnifungue ubongo 🙏
Usikute uume wako umepata mimba
 
Ndugu Wana JF,

Kama Uzi unavyojieleza mwamba nimekutana na jambo, nimemshona mtoto wa mtu uko sasa siku iliyofuata natazama uume umeanza kujaa.

Matabibu mliopo umu msaada katika hili, tupanuane mawazo nijue nini kinanikabili. Kuna hali fulani ya maumivu tu, naomba mnifungue ubongo 🙏
Duu hiyo ni live wire yaani umechimba mgodi kavukavu, nenda hospitali ukapimwe
 
1.IV inj. Ceftriaxaone 2g stat
2.Tab. Azithromycin 1g (PO) stat
3.Tab. Tinidazole 2g (PO) stat
4.Cap. Doxycycline 100mg b.d for 7days

Nunua hizo dawa,tafuta mtaalamu akuchome mara moja hiyo sindano no. 1

Masharti: 1. Hakikisha wife/partner nayeye anatibiwa.
2. Simama kufanya mapenzi mpaka kumaliza dawa.
3. Acha pombe mpaka utakapomaliza dawa (ikiwa unatumia)
Je nikichoma power safe tatu kwa mbadala wa hii je

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Ndugu wahi kamuone daktari una maambukizi makali,,eti uvimbe tu mboo kwa kuingiza kwenye nyuchi we uliwahi ona wapi? Basi tungevimba weng sana
 
HIYO TEGO MZEE WAZEE KWA VIJANA wa upande wa pwani wanawatega sana mabint na wake ili wapate mchele
 
Back
Top Bottom