babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Anataka ushauri.Wahi kwa hospital
Jinga Sana Hili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anataka ushauri.Wahi kwa hospital
Mke nimtokee wapi unazoa vitunguu maji mchana unaleta ndani usiku utaacha kulia ww😄😄Sina mke nipo bachelaTendo la ndoa kwani ulikua u afanya na mkeo wa ndoa?
Kweri mimi jinga chief ila utapo zoa zoa siku utaleta nawe Uzi😄Anataka ushauri.
Jinga Sana Hili
😄😄😄Hio mbona Kama Gono mzee .Nenda kapime
Hapna huyu sio mke wa mtu sinaga tabia ya kula mke wa mtu nikijua najikataa huyu labda atakua mpenzi wa mtu. Maana vimejaa tamaa kama nini😄😄Ni mke wa mtu!?
Maana kuna jamaa namjua sahivi tumeshamzika 🙁. Daah yule mwamba aliteseka sana, alikuwa anakula mke wa mtu jamaa wanamwambia anavunga. Siku ya siku akaanza ona 🍆 inavimba tu mkojo hautoki kaenda hospital kupima kila aina ya ugonjwa wa zinaa hana. Alikaa kama wiki tumbo nalo linavimba. Watu wa karibu wanasema siku ya mwisho 🍆 ilipasuka, and that was the end
Anataka ushauri.
Jinga Sana Hili
Nishaleta bahati mbayaKweri mimi jinga chief ila utapo zoa zoa siku utaleta nawe Uzi😄
We daktari?unauliza ujinga gani hapa huku tumemshauri awaone watabibu?Kwenda Hospital sio ushauri? Kwa hiyo mimi kabka sijaona aina ya uvimbe na hali yake namshaurije?
So yule mpiga kinanda chief pale prokiani? Aliyezikwa mwezi mmoja au miwili now.Ni mke wa mtu!?
Maana kuna jamaa namjua sahivi tumeshamzika 🙁. Daah yule mwamba aliteseka sana, alikuwa anakula mke wa mtu jamaa wanamwambia anavunga. Siku ya siku akaanza ona 🍆 inavimba tu mkojo hautoki kaenda hospital kupima kila aina ya ugonjwa wa zinaa hana. Alikaa kama wiki tumbo nalo linavimba. Watu wa karibu wanasema siku ya mwisho 🍆 ilipasuka, and that was the end
Nishaleta bahati mbaya
We daktari?unauliza ujinga gani hapa huku tumemshauri awaone watabibu?
Pumbu zinavimba ni tezi dume.
Ukikojoa uji gono hilo.
Ukiota vipele kwenye pumbu ushindwe kukojoa kaswende hiyo.
HIV inasoma
Hayo maradhi siyo ya jana wala juzi.
Huelewi nini hapo
Stress gani?Hemu jaribu kutafuta utatuzi wa stress zako, unaweza ukawa productive kwenye maeneo fulani fulani.
Kuna mwenzako aliendesha rough tyre ikakwajuka akaweka picha hapa akasaidiwa na sasa anashiriki mijadala vilivyoHahaha mbn haiendani na Maelezo chief
Huenda alitembelea rim tupuUlitumia kinga?
Wakati mwingine hata hizi manati tunazovaa huwa na shida, unaweza kujikuna mpaka ukavimbaSasa parestina doctor kaichunguzaa kaniambia iyo ni Hali ya kawaida utarudi kwa Hali yake tu sipokua kuna sindano nimedungwa yakupoteza huo uvimbe na madawa baada ya kumaliza dose nirudishe mrejesho wa maendeleo🤣
1.IV inj. Ceftriaxaone 2g statHivi kukiwa na discharge ya white inayovutika kama mlenda ni dalili ya nini maana nishakunywa azuma mpaka nimechoka nikinywa inapotea baada ya kumaliza tu inaanza
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Mtoto mzuri kama cute wife unatumiaje dume?Muwe mnakumbukaga dume, mtakufa vibaya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]