Hu Jintao
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 1,726
- 3,359
Au ulikamia gameNilianza saa sita 9t mpk saa tisa na nusu night hiyo baada ya hapo upepo ukawa ukipiga kuna Hali Fulani nikawa nasikia ya maumivu kwa mbali hivi nikitazama naona poa tu siku iliyofuata nikaamka mwili ukiwa mchovu ukawa ukiuma kila Mahala kwenda maabara kupima jamaa kaniambia Niko na malaria moja nikameza metakefin za Kenya nikajua zoezi litakua poa ndipo uume ulipanza kuvimba