Chanzo cha Mafuriko Morogoro mjini ni tuta la SGR, mamlaka zishughulikie hili

inabidi upimwe akili na malinda maana ujui ulitendalo
 
Tia picha
 
Kuna maafa makubwa yanakuja! Barabara zote za maeneo haya zimekatika. Rais tafadhali unda tume ujiridhishe na ukweli huu. Hatua zichukuliwe.[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna maafa makubwa yanakuja! Barabara zote za maeneo haya zimekatika. Rais tafadhali unda tume ujiridhishe na ukweli huu. Hatua zichukuliwe.[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SGR Popote Inapojengwa Ukiitembelea Utajionea Yapo Maeneo Yanazoiwa Maji Yote Na Kuelekezwa Kupita Sehemu Ambazo Huko Yaendako Hupoteza Uelekeo
 
Tume ya nini wakati tatizo umelizema? Mwisho utasikia Wahandisi Wetu ni kanjanja ila Wazungu ndio wako makini,haya Kiko wapi sasa
 
Hizo environment assessment zilifanywa kimagumashi na kina Mwendazake.

Bwawa litatanuliwa na Kuna mabilioni hapo ujenzi kuanza soon.

Komaeni na Sgr yenu.Vilio vya Mafuriko viko maeneo mengi sana ilikopita hii Sgr
 
Mkuu
Mpaka leo hata picha ya hilo tuta haujafanikiwa kuipata?

Tukisema.huu uzi ni umbea usitulaumu
 
Huu upumbavu unaanza kurudi kama mtu hakubaliki mnalazimishaje watu wamkubali
Kinachopimwa kukubalika ni matokeo ya kazi zake sio ujinga wenu wa mnataka au hamtaki.

Yaani tumpoteze Rais anaeleta matokeo mazuri kisa kukufurahisha wewe mpumbavu mmja?
 
Hili la Watumishi ni lazima siku zote ni kama Mwenge tuu utake au usitake.

Nyie Watumishi ambao ni Wapinzani mtatafutwa tuu huko maofisini.
 
Naomba kuuliza yale matuta SGR sio hapo tu kuna sehemu nimeona utadhani ukuta na sehemu za maji yanatakiwa kujiachia, hii reli tumepigwa za uso.
Bado hamjasema,mtaogelea sana 😁😁

Huwezi sikia ujinga ujinga kama huo reli ya Tazara Kwa sababu cheap is expensive.

Kamfufueni Jiwe
 
Kinachopimwa kukubalika ni matokeo ya kazi zake sio ujinga wenu wa mnataka au hamtaki.

Yaani tumpoteze Rais anaeleta matokeo mazuri kisa kukufurahisha wewe mpumbavu mmja?
Nini sababu ya kulazimisha watu wakamuone?
 
Wanalipwa kusomba kile kifusi, wewe, magari, madereva, spare parts, weee ni gharama Sana Ndugu.

Wanalipwa kusomba kile kifusi, wewe, magari, madereva, spare parts, weee ni gharama Sana Ndugu!
Aisee! Ila nguzo zinapendeza na kuacha nafasi kubwa chini kuliko hayo matuta. Kuna lile tuta la kuingia dodoma yaani limekua kama mlima, halafu tuta limewekwa lami haina ubora linapukutika mvua ikinyesha.
 
"Sisi" wana JF tumezoea kudeka."Tunaomba" picha ya tuta hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…