ZOPPA
JF-Expert Member
- Jan 20, 2017
- 2,729
- 2,891
inabidi upimwe akili na malinda maana ujui ulitendaloHayo matuta ya miaka 5 pale kihonda.
Kwanini mafuriko yatokee mwaka huu.
Mimi naona Sababu ni Moja
Serikali imepiga marufuku watu wasilime mpunga kwenye bonde la kihindo.
Kama unavyojua ardhi ya kulima mpunga isipotibuliwa tibuliwa ndio Inatwamisha maji kwa kiasi kikubwa. Na kupekekea mafuriko.
Waruhusu watu waendelee na shughuli za kilimo kwenye lilies bonde la mpunga la kihonda otherwise Kila mwaka mafuriko yatatokea tu.