Chanzo cha Mgogoro Mashariki ya Kati. You must read this

Chanzo cha Mgogoro Mashariki ya Kati. You must read this

Nimeleta mada hii ili tujadili kuhusu mizozo ya mashariki ya kati chanzo chake na pia inaelekea wapi hii mashariki ya kati.Na pia lipi taifa lenye nguvu pale mashariki ya kati.Pia vita ngap mwarabu alipigwa na kushinda.

Wote tunajua kipindi cha miaka ya 1900 waarabu hawakua na nguvu himaya ambayo iloweza kuwa na nguvu ilikua himaya ya Ottoman pekeake himaya ambayo wazungu zaidi ya mataifa mawili waliungana kuivunja vita ya pili ya dunia. Ila mataifa mengine ya kiarabu yalikua dhaifu.

Asa tujadili haya mataifa ya kiarabu yana hali gani kinguvu kwasasa.
 
Shida ya Middle East ni masuala ya kidini, kihistoria na kijiografia.

1. Kidini; Kuna migawanyiko mikubwa ya Uislam ambayo kila dhehebu linataka mafundisho yake ndio yatawale.

2. Sykes-Picot Agreement: Mwaka Uingereza na wenzake waliyagawana kwa siri maeneo yaliyokuwa chini ya dola ya Ottoman, huku awali walikuwa wameingia makubaliano na familia kadhaa za Middle East kuwapa maeneo ya kiutawala kama malipo ya kuwasaidia waingereza dhidi ya Dola ya Ottoman kwenye WWI. Hii ilizua mizozo.

3. Kijiografia; mipak ya Sykes-Picot Agreement iliyochorwa haikuzingatia mazingira ya hali za watu hao, kwani yaliwaunganisha watu ambao ni wa imani tofauti na ambao hakuzoea kuishi pamoja(ingawa walivumiliana) mbaya zadi wakaanza ongozana kwa imani ambazo hazikuwa wakizikubali. Mfano, wakurdi kule Uturuki, ni wasunni wa madhehebu ya Shaffi ambao hawaamini Usuni wa serikali ya Uturuki. Wanafungamana na wenzao wa Iraq, Iraq na kule syria (kurdstan). Hawa kijiografia ni eneo moja la watu waliotengenezwa na mipaka ya kijiografia, milima, ambao kwa muda mrefu walikuwa ni jamii moja kiimani na kiutawala(wakati wa Ottoman empire), ni kama wamasai waliopo kenye na tanzania, walivyokuwa jamii moja na leo waamue kutaka kuwa na taifa lao huru.

250px-Kurdish-inhabited_area_by_CIA_(1992)_box_inset_removed.jpg


Tafuta kitabu cha Prisoners of Geography, kimeelezea vizuri sana kuhusu Middle East.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom