Kinkunti El Perdedo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 5,200
- 12,762
Hiyo taasisi hakuna la maana wanalo fanya,zaidi ya kulinda wezi maana nao ni wanufaika wa mfumo.Hizo story za st.peter huwa naona kama hadithi za Abunuwasi tu,zenye wahusika wa kufikilika tu.MKUU
Hiyo taasisi unayoitaja ya 0101 IPO katika reformation kubwa ya nchi yetu,ndio maaana inataka kitabu kipya na muelekeo upya!!
Hukonmwanzo hatma ya kiuchumi ya nchi iliachiwa wanasiasa lakini.sasa Kuna mpango mpya na Kuna vijana Kwa miaka 12 wanapikwa pale st.peters watakuja kuweka mambo sawa kuhusu ujasusi was kiuchumi!!
Hiyo taasisi ilitukosea Sana kuachia uchumi na mstakabali was watz wanasiasa ambao wanajali matumbo Yao kwa ubunge na vyeo plus uchawa ndio janga kuu la taifa Hadi kesho!!
Taifa hili halija anza harakati za kudai mageuzi leo,miaka 60s ya uhuru ni muda mrefu sana,Cha kushangaza hali inakuwa mbaya zaidi,Na hao DP wapo tu wanashangaa jinsi nchi inavyo liwa na tabaka la wachache.kuamini kwamba hawa ndo mworabaini wa matatizo ni kuwa "wapumbavu".
Kutegemea kikundi kinacho jivika uzalendo uchwara matokea yake ndo haya,kila kitu kipo hovyo.kule Japan Emporer Meiji kupitia sera ya "reforms au reformation" aliamua kuwamaliza wahafidhina wa kisamurai ambao walikuwa wanufaika wa mfumo,hivyo basi Tanzania inapaswa kupata kiongozi kama Meiji.