Chanzo cha wanawake kuifanya miili yao kama biashara ni nini?

Fabian Vitus .

Kwanza kuna watu wanateseka sana kimaslahi wameachwa na wanaume zao , tena nyumba zakupanga wanadaiwa kodi, maji, umeme , ada sio ya mtoto mmoja , zaidi ya mmoja halafu hata kama amesoma wanamnyima ajira mpaka atoe penzi unadhani atafanyaje unaongea tu maana unaongea maana unamdomo ,ila hutoi post yakusema hivi ni kwanini wababa au wanaume wanatelekeza ndoa zao ?

Mwingine ni kabakwa mpaka na leo anaona kujiuza ni haki yake kaharibika kisaikolojia , .

Mwingine unakuta anajiuza ili akidhi mahitaji yake yakingono , maana mmoja hamuwezi .
Mwingine nikama fani yake bila kujiuza haoni raha na anapenda maisha ya raha na asipojiuza hajitimizi haja zake ustaa zakuonekana
 
Shangazi anajuaaa ,🀠🀠🀠🀠🀠!
So tunavaa vijora shangazi mtu nidinamie hili niandae oda kwa mama la mama Lamomy au sare nyingine spesheli???😁
Vipo vingi vya kutoshaaaa!!!
Leteni order hizo, ila bwana harusi ndio sina uhakika naye 🀣🀣🀣🀣
 
Maisha ni hatua maisha ni safari pesa isinunue utu wetu tujikubali na kuridhika na shida/ hali zetu!

Mwanamke ukiendekeza tamaa ya pesa lazima utatumika sana na kuwa mtumwa!
Nakazia πŸ“ŒπŸ”¨
Tatizo uvivu na kupenda pesa mbuzi zinazoenda kugharimu maisha yao. Ndo chanzo cha GONO lisiloisha 😜
 
kahaba anakuwaga ana mtu wake ambaye ana enjoy maana naye ni binadamu na ana hisia wengine pesa mbele kama tai
Dah; huyo mtu wake anakuwa anafahamu issues za demu wake huyo? If, yes lazima awe na roho ngumu mno.
 
Haijawahi muacha mtu salama πŸ€ πŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈ!!
🀣🀣🀣 sitaki kucheka mwenzio, afu inadumaza hukui wala hurefuki
 
Hakuna jipya chini ya jua.
Biashara ilikuwepo tangu zamani, sasa hivi unaona imeshamiri ni kutokana na ongezeko la watu, utandawazi na teknolojia.

Wateja pia wameongezeka. Labda wameona bidhaa imekuwa bora zaidi, waulize.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…