Chanzo cha wanawake kuifanya miili yao kama biashara ni nini?

Chanzo cha wanawake kuifanya miili yao kama biashara ni nini?

Fabian Vitus .

Kwanza kuna watu wanateseka sana kimaslahi wameachwa na wanaume zao , tena nyumba zakupanga wanadaiwa kodi, maji, umeme , ada sio ya mtoto mmoja , zaidi ya mmoja halafu hata kama amesoma wanamnyima ajira mpaka atoe penzi unadhani atafanyaje unaongea tu maana unaongea maana unamdomo ,ila hutoi post yakusema hivi ni kwanini wababa au wanaume wanatelekeza ndoa zao ?

Mwingine ni kabakwa mpaka na leo anaona kujiuza ni haki yake kaharibika kisaikolojia , .

Mwingine unakuta anajiuza ili akidhi mahitaji yake yakingono , maana mmoja hamuwezi .
Mwingine nikama fani yake bila kujiuza haoni raha na anapenda maisha ya raha na asipojiuza hajitimizi haja zake ustaa zakuonekana
 
Hakuna jipya chini ya jua.
Biashara ilikuwepo tangu zamani, sasa hivi unaona imeshamiri ni kutokana na ongezeko la watu, utandawazi na teknolojia.

Wateja pia wameongezeka. Labda wameona bidhaa imekuwa bora zaidi, waulize.
 
Back
Top Bottom