chanzo kikuu cha ushindi wa kishindo wa CCM kwenye chaguzi ni maendeleo yanayo onekana kwa wanainchi

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
51,453
Reaction score
41,274
Na utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ndio hasa dira na formula inayotumika kuwaletea waTanzania maendeleo ya kijamii, kisiasa na kiuchumi.

Tabia ya CCM kuahidi wananchi maendeleo kwa maneno na kutekeleza ahadi hizo kwa vitendo, weledi na uaminifu mkubwa, kumewajengea imani kubwa waTanzania na ndio maana hawachoki kuichagua na kuipa ccm ushindi wa kishindo kwenye kila uchaguzi na dhamana ya kuongoza nchi.

Una maoni gani ndugu mndau wa JF.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
Hakuna kitu ambacho kimewaharibia CCM kama issue ya utekaji,kwa wananchi wa kawaida huku vijijini jambo hilo limewafanya waichukie serikali ya CCM,amini ninayokwambia
 
Tabia ya CCM kuahidi wananchi maendeleo kwa maneno na kutekeleza ahadi hizo kwa vitendo, weledi na uaminifu mkubwa, kumewajengea imani kubwa waTanzania na ndio maana hawachoki kuichagua na kuipa ushindi wa kishindo kwenye kila uchaguzi.

Una maoni gani ndungu mndau wa JF.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Sasa kama mnashinda kwa kigezo hicho, kwa nini hamtaki mabadiliko, mnaiba kura na kuwategemea policcm kuwasaidia kuwatangaza washindi wenu wa mchongo!
 
IMG-20250613-WA0001.jpg
1749875983206.jpeg
 
Ccm ilipata kinyesi si DC wa kisarawe
IMG_1683.jpeg
 
Na utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ndio hasa dira na formula inayotumika kuwaletea waTanzania maendeleo ya kijamii, kisiasa na kiuchumi.

Tabia ya CCM kuahidi wananchi maendeleo kwa maneno na kutekeleza ahadi hizo kwa vitendo, weledi na uaminifu mkubwa, kumewajengea imani kubwa waTanzania na ndio maana hawachoki kuichagua na kuipa ushindi wa kishindo kwenye kila uchaguzi.

Una maoni gani ndungu mndau wa JF.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Maendeleo ya kukopa trillion 107?
 
Na utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ndio hasa dira na formula inayotumika kuwaletea waTanzania maendeleo ya kijamii, kisiasa na kiuchumi.

Tabia ya CCM kuahidi wananchi maendeleo kwa maneno na kutekeleza ahadi hizo kwa vitendo, weledi na uaminifu mkubwa, kumewajengea imani kubwa waTanzania na ndio maana hawachoki kuichagua na kuipa ccm ushindi wa kishindo kwenye kila uchaguzi na dhamana ya kuongoza nchi.

Una maoni gani ndugu mndau wa JF.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
No reform no election acha ngonjera
 
Gentleman
Mbona mnatulazimisha kuona maendeleo?

Kwani hayo maendeleo si mnafanya kwa kodi zetu? Na niwajibu wenu?

Mnaposema maendeleo mliyoleta mnajilinganisha na nani?

Mje na hoja zingine na sio za maji barabara afya kila siku
 
Ni wazi sasa ccm iko kwenye peak ya panic.. NO REFORMS NO ELECTION.. imewapiga vibaya sana mpaka kwenye chembe ya moyo
Gentleman,
that nonsense haiwezi kuzuia wananchi kuipa ccm ushindi wa kishindo kwenye uchaguzi mkuu wa october na kuipa dhamana ya kushika dola, kuunda serikali na kuongoza nchi.
hilo ni jambo la wazi zaid Tanzania na duniani kote :pedroP:
 
Hakuna kitu ambacho kimewaharibia CCM kama issue ya utekaji,kwa wananchi wa kawaida huku vijijini jambo hilo limewafanya waichukie serikali ya CCM,amini ninayokwambia
porojo na drama nonsense kama hizo haziwezi kuizuia au kuidhoofisha ccm isipate ushindi wa kishindo uchaguzi mkuu wa october mwaka huu2025 gentleman:pulpTRAVOLTA:
 
Gentleman,
that nonsense haiwezi kuzuia wananchi kuipa ccm ushindi wa kishindo kwenye uchaguzi mkuu wa october na kuipa dhamana ya kushika dola, kuunda serikali na kuongoza nchi.
hilo ni jambo la wazi zaid Tanzania na duniani kote :pedroP:

Sema hivi, hiyo haizuii ccm kujirudisha madarakani na sio wanainchi kuchagua tena ccm

Hawa wanainchi mnawasingizia tu
 
porojo na drama nonsense kama hizo haziwezi kuizuia au kuidhoofisha ccm isipate ushindi wa kishindo uchaguzi mkuu wa october mwaka huu2025 gentleman:pulpTRAVOLTA:

Hata kukiwa hakuna wanainchi
Ccm itashinda tu

As long as makaratasi ya kupiga kura yapo
 
Sasa kama mnashinda kwa kigezo hicho, kwa nini hamtaki mabadiliko, mnaiba kura na kuwategemea policcm kuwasaidia kuwatangaza washindi wenu wa mchongo!
mabadiliko yalishafanyika na yataendelea kufanyika kadiri ya matakwa ya wananchi kupita wawakilishi wao bungeni na si vinginevyo.

porojo na mayowe ya vibaka na matapeli wa kisiasa nchini ni useless na completely nonsense gentleman :pulpTRAVOLTA:
 
Maendeleo ya kukopa trillion 107?
Tanzania inakopesheka popote duniania, na itaendelea kukopa kugharamia miradi ya maendeleo kwaajili ya waTanzania, kwasababu ianaminika duniani, ina uwezo wa kulipa madeni na uchumi wake unakuu na kusitawi vizuri sana gentleman:pulpTRAVOLTA:
 
mabadiliko yalishafanyika na yataendelea kufanyika kadiri ya matakwa ya wananchi kupita wawakilishi wao bungeni na si vinginevyo.

porojo na mayowe ya vibaka na matapeli wa kisiasa nchini ni useless na completely nonsense gentleman :pulpTRAVOLTA:
You are really hopeless and empty head.
 
Gentleman
Mbona mnatulazimisha kuona maendeleo?

Kwani hayo maendeleo si mnafanya kwa kodi zetu? Na niwajibu wenu?

Mnaposema maendeleo mliyoleta mnajilinganisha na nani?

Mje na hoja zingine na sio za maji barabara afya kila siku
Gentleman,
CCM inafurahia hatua za maendeleo ya kijamii, kisiasa na kiuchumi kwa waTanzania wachapa kazi.
serikali sikivu ya ccm itaendelea kuboresha mazingira, kuimarisha miundombinu, ulinzi na usalama nchini kote ili hatimae waTanzania wapate fursa na nafasi ya kujiletea maendeleo endelevu na kujikwamua kwenye lindi la umaskini:pulpTRAVOLTA:
 
Hata kukiwa hakuna wanainchi
Ccm itashinda tu

As long as makaratasi ya kupiga kura yapo
inashinda kwasababu ya uaminifu wake kwa wananchi,
inaahidi kwa maneno na inatekeleza ahadi kwa vitendo.

hakuna wa kuchagua porojo, makelele matupu na uropokaji gentleman:pulpTRAVOLTA:
 
Back
Top Bottom