ndammu
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 5,424
- 6,327
Na utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ndio hasa dira na formula inayotumika kuwaletea waTanzania maendeleo ya kijamii, kisiasa na kiuchumi.
Tabia ya CCM kuahidi wananchi maendeleo kwa maneno na kutekeleza ahadi hizo kwa vitendo, weledi na uaminifu mkubwa, kumewajengea imani kubwa waTanzania na ndio maana hawachoki kuichagua na kuipa ccm ushindi wa kishindo kwenye kila uchaguzi na dhamana ya kuongoza nchi.
Una maoni gani ndugu mndau wa JF.🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Lakini mnaogopa uchaguzi huru na haki na kuiba hamjui vizuri.