chanzo kikuu cha ushindi wa kishindo wa CCM kwenye chaguzi ni maendeleo yanayo onekana kwa wanainchi

inashinda kwasababu ya uaminifu wake kwa wananchi,
inaahidi kwa maneno na inatekeleza ahadi kwa vitendo.

hakuna wa kuchagua porojo, makelele matupu na uropokaji gentleman:pulpTRAVOLTA:

Mmmmh huu mwandiko kama wa Lucas Mwashambwa
 
Gentleman,
CCM inafurahia hatua za maendeleo ya kijamii, kisiasa na kiuchumi kwa waTanzania wachapa kazi.
serikali sikivu ya ccm itaendelea kuboresha mazingira, kuimarisha miundombinu, ulinzi na usalama nchini kote ili hatimae waTanzania wapate fursa na nafasi ya kujiletea maendeleo endelevu na kujikwamua kwenye lindi la umaskini:pulpTRAVOLTA:

Miaka 60 bado tuna lindi la umaskini

Na kiongozi wa umma ananunua kiwanja kwa bilion 2

Mambo mengine mnabidi mkae kimya tu

Deni la mama limeshafika 107

Mpaka miaka 2 ijayo deni linafika 1000
 
maskini mmebaki wachache sana na katika awamu ya7 lazima nyote mtoke kwenye hiyo laana mpende msipende.
acheni kuendekeza uvivu na kuchagua kazi, sawa gentleman? :NoGodNo:
 
porojo na drama nonsense kama hizo haziwezi kuizuia au kuidhoofisha ccm isipate ushindi wa kishindo uchaguzi mkuu wa october mwaka huu2025 gentleman:pulpTRAVOLTA:
Kwa kura zile zinazoingizwa ambazo Zina tick kabla ya uchaguzi kuanza ni sawa na kumtangaza aliyeshindwa na kwa tume hii wala hakuna ubishi, ushindi ni lazima bwashee
 
Na utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ndio hasa dira na formula inayotumika kuwaletea waTanzania maendeleo ya kijamii, kisiasa na kiuchumi.

Tabia ya CCM kuahidi wananchi maendeleo kwa maneno na kutekeleza ahadi hizo kwa vitendo, weledi na uaminifu mkubwa, kumewajengea imani kubwa waTanzania na ndio maana hawachoki kuichagua na kuipa ccm ushindi wa kishindo kwenye kila uchaguzi na dhamana ya kuongoza nchi.

Una maoni gani ndugu mndau wa JF.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
sasa kwanini mnaogopa tume huru na katiba mpya? shindaneni kwenye mazingira yenye usawa tuone, nyie si mmeleta maendeleo ya kujenga matundu ya vyoo, wasiwasi ni wa nini?
 
Sema hivi, hiyo haizuii ccm kujirudisha madarakani na sio wanainchi kuchagua tena ccm

Hawa wanainchi mnawasingizia tu
serikali ya kiraia Tanzania ni ya wananchi wenyewe gentleman,
huna haja ya kupotosha :NoGodNo:
 
sasa kwanini mnaogopa tume huru na katiba mpya? shindaneni kwenye mazingira yenye usawa tuone, nyie si mmeleta maendeleo ya kujenga matundu ya vyoo, wasiwasi ni wa nini?
hakuna suala la kuogopa hapa gentleman,
maandalizi ya uchaguzi yanaendelea vizuri na uachaguzi utafanyika mapema october bila kumuogopa mtu, wala kujali mayowe au makelele ya vibaka na matapeli wa kisiasa waliopoteza uelekeo nchini.

Na uchaguzi huo unafanyika kwa mujibu wa katiba ya nchi na si vinginevyo :NoGodNo:
 
uchaguzi gani
 
Kwa kura zile zinazoingizwa ambazo Zina tick kabla ya uchaguzi kuanza ni sawa na kumtangaza aliyeshindwa na kwa tume hii wala hakuna ubishi, ushindi ni lazima bwashee
Gentleman,
dhana na nadharia potofu kama hizo ambazo ndio excuse ya wanaokataliwa na wananchi, haziwezi kuzuia uchaguzi usifanyike october mwaka huu2025, na wala haziwezi kuibabaisha ccm isishinde uchaguzi kwa kishindo, kuunda serikali na kuongoza nchi:NoGodNo:
 
serikali ya kiraia Tanzania ni ya wananchi wenyewe gentleman,
huna haja ya kupotosha :NoGodNo:

Ukweli unaujua
Na unajua namaanisha nini

Me na wewe wote ni watu wazima

Karibu simiyu
 
Kujenga vituo vya afya na shule no maendeleo????
Iliboru na Tabora boys zilikuepo tangu enzi ya mwalimu!
 
Ukweli unaujua
Na unajua namaanisha nini

Me na wewe wote ni watu wazima

Karibu simiyu
sure,
ukweli uko wazi kabisa kwamba uchaguzi mkuu wa Tanzania ni october mwaka huu2025, na dunia nzima inajua hilo.

Asant sana kunikaribiasha Simiyu gentleman,
majuzi nilikua meatu, tukijaali next time:pulpTRAVOLTA:
 
Kujenga vituo vya afya na shule no maendeleo????
Iliboru na Tabora boys zilikuepo tangu enzi ya mwalimu!
Yes,
kujenga vituo vya afya na shule ni msingi wa maendeleo ya wananchi.
Tunataka ikiwa mwanafunzi ataugua, maramoja anapata huduma za kiafya na anarudi masomoni akiwa na afya njema.

vivyo hivyo kwenye huduma za maji, umeme, barabara n.k.
hayo yote ni msingi wa mwanachi kua na fursa na nafasi nzuri zaidi ya maendeleo:pulpTRAVOLTA:
 
Kwa mikoa ya kaskazini hata watu binafsi wamejenga shule zao na hospital zao. Hiyo sio agenda ya sasa.

Miaka 60 ya uhuru mnaongea kujenga shule na vituo vya afya?
 
Yule bibi, amejenga bara bara ipi???
Ametumia mahesabu kuwa, km Moja ya lami ni 1 billion, badala yake akaachana na lami, akavmchukua hiyo one billion,akagawanya mara mbili, akajenga shule mbili za sekondari,ili jamii Ione .
 
Na utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ndio hasa dira na formula inayotumika kuwaletea waTanzania maendeleo ya kijamii, kisiasa na kiuchumi.

Tabia ya CCM kuahidi wananchi maendeleo kwa maneno na kutekeleza ahadi hizo kwa vitendo, weledi na uaminifu mkubwa, kumewajengea imani kubwa waTanzania na ndio maana hawachoki kuichagua na kuipa ccm ushindi wa kishindo kwenye kila uchaguzi na dhamana ya kuongoza nchi.

Una maoni gani ndugu mndau wa JF.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Haahaa wasingegoma NRNE
 
Kwa mikoa ya kaskazini hata watu binafsi wamejenga shule zao na hospital zao. Hiyo sio agenda ya sasa.

Miaka 60 ya uhuru mnaongea kujenga shule na vituo vya afya?
wamejenga shule na mahospitali kwasababu serikali sikivu ya ccm imeweka mazingira mazuri sana kwa hayo kutokea,
na bado mazingira mazuri zaidi yanajengwa ila hatimae mashule na mahospitali zaidi binafsi yajengwe nchini.

Jukumu la serikali sikivu ya CCM ni kujenga mazingira wezeshi kwa maendeleo hayo kutokea gentleman :pulpTRAVOLTA:
 
Yule bibi, amejenga bara bara ipi???
Ametumia mahesabu kuwa, km Moja ya lami ni 1 billion, badala yake akaachana na lami, akavmchukua hiyo one billion,akagawanya mara mbili, akajenga shule mbili za sekondari,ili jamii Ione .
barabara zinazojengwa nchini sio kwaajili ya bibi au babu gentleman,
serikali sikivu ya ccm inajenga barabara, mashule, vituo vya afya n.k kwajiili ya manufaa ya waTanzania wote na si vinginevyo :pulpTRAVOLTA:
 
Back
Top Bottom