Chanzo Kikuu cha Watu walio kwenye mahusiano kuchepuka

h
ahahahahah eti atakapokufa
teh teh, mwanamke ni rahisi sana kuridhika kama unamjali
 
Hiyo namba tano imeniokoa sana kwani huku kazini kwetu huwa nachagua wale wake za watu wennye chura tu!
 
Ukweli mtupu....
 
Umemaliza yote mkuu
 
Sio kweli hata kidogo
 
Hahaa jmn eti akifa ndio karidhika
 
Sababu za kuchepuka ziko mbili tu,:mwanamke kama alivyo mwanaume anachepuka kwa sababu anataka kustarehe, tendo la ndoa ni starehe nzuri kuliko starehe zote.Anatoka ili kuona utamu mwingine kwingine ukoje.Sababu ya pili ni uchumi, mwanamke atabadilisha wanaume ili kujiongezea kipato.Sababu zingine zote ni ndogo na hazina uzito.Hata hao wanaume wanaowalipa wanawake wanataka kuona starehe ya mwingine ikoje hata kama nyumbani ana bonge la mwanamke.Kwa kifupi kinachosumbua ni starehe,starehe na si kingine.
 
Ukweli mtupu....
Sio kweli hata kidogo, makorokoro yote yaliotajwa hapo juu kwa mwanamke hayana maana yeyote, mfikishe kileleni kila siku lakini anataka na mwingine amfikishe.Mpatie pesa zote ulizonazo kwake hazina maana yeyote zaidi ya kubadilisha utamu mwingine.Ni sawa na chakula leo wali, kesho viazi keshokutwa ugali na samaki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…