Chapati ya Kichina, mmea unaoishi kwenye maji, Kombucha/tea mushroom

Kama uko Dar tuwasiliane

Tumepunguza bei sasa unapata kwa 20,000/= pamoja na maelekezo jinsi ya kuandaa

Sent from my SHV45 using JamiiForums mobile app
daah wabongo bana.
yani hayo machapati yashakuwa fursa ya kibiashara 🤣🤣

nakumbuka miaka iyo kuna jirani yetu alikuwa nayo tulikuwa tunaona wenyewe wanakunywa maji kutoka kwenye hizo chapati wakiziita 'fungus'
sisi wengne tulikuwa tunaziogopa tukihofia pengine ni majini

duuh kweli time flies
sasa mkuu @qualalumpaqualalum ungeweka contacts bac wateja wakufikie
 
[emoji23][emoji23]

Endelea kucheka mkuu.

Sent from my SHV45 using JamiiForums mobile app
 
Siku nyingine unaambiwa kizuri kula na mwenzako,zile mbegu ilitakiwa unavyozitoa unawapa hata marafiki zako ili kesho na kesho kutwa kwa mwingine mbegu ikifa inakuwa rahisi kupata kwa mwingine.Hapo Cha kufanya wasiliana na aliyekuletea zawadi pengine yeye kwake itakuwepo.
 
Naitaifuta hii kitu, kwetu tuliita TEA TREZZA
 
 
Tuliokunywa miaka hyo nadhani ndo sisi kizazi chetu ambacho hatuna shida kwny mambo mengi...
 
Nilikua naipiga hii kitu mwaka 2000 Toka kikosi cha malezi Shy town kizumbi pale CEO akiwa Mzee wash mama angu mdogo alicheza sana hapa.
Kwetu huu mmea uliwekwa kwenye kisufuria cha zile jiko za kichina za mafuta ya taa .
 
Kwayu alipotoka hapo kwenu alikuja kwetu ilboru kipindi icho alikuwepo headmaster mmoja anaitwa kitemango aligomewa na wanafunzi akahamishwa karatu boys. Kwayu alikuwa teacher na mlezi mmoja safi sana, Ile kitemango na Yule mzee aliyekuwa anatoa watu wanalala kwenye umande na blanket aka chief sintomsahau.
Kuna vijana mwaka watu wengi mno walifaulu from Azania to ilboru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…