Sipo Dar ila miezi inayokuja ntakuja huko,labda utanipa mawasiliano mkuuKama uko Dar tuwasiliane
Tumepunguza bei sasa unapata kwa 20,000/= pamoja na maelekezo jinsi ya kuandaa
Sent from my SHV45 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sipo Dar ila miezi inayokuja ntakuja huko,labda utanipa mawasiliano mkuuKama uko Dar tuwasiliane
Tumepunguza bei sasa unapata kwa 20,000/= pamoja na maelekezo jinsi ya kuandaa
Sent from my SHV45 using JamiiForums mobile app
Upo Dar maeneo gani?Kama uko Dar tuwasiliane
Tumepunguza bei sasa unapata kwa 20,000/= pamoja na maelekezo jinsi ya kuandaa
Sent from my SHV45 using JamiiForums mobile app
daah wabongo bana.Kama uko Dar tuwasiliane
Tumepunguza bei sasa unapata kwa 20,000/= pamoja na maelekezo jinsi ya kuandaa
Sent from my SHV45 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23]daah wabongo bana.
yani hayo machapati yashakuwa fursa ya kibiashara [emoji1787][emoji1787]
nakumbuka miaka iyo kuna jirani yetu alikuwa nayo tulikuwa tunaona wenyewe wanakunywa maji kutoka kwenye hizo chapati wakiziita 'fungus'
sisi wengne tulikuwa tunaziogopa tukihofia pengine ni majini
duuh kweli time flies
sasa mkuu @qualalumpaqualalum ungeweka contacts bac wateja wakufikie
Weka mawasiliano yako
hapa bongo au imported?Tayari wajanja washatengeneza kinywaji kinaitwa kombucha natural energy drink ladha ya tangawizi
Mkuu hii inatibu presha ya kupanda au kushuka...?Chukua pilipilimanga na binzali..changanya ..anywe asubuhi na jion kwa wiki mbili..utanishukuru badae..
Bongo hapa hapa kanda ya kaskazini inatembea mnohapa bongo au imported?
Umenikumbusha mbali sana, huo mmea ulikuwepo nyumbani. Ila tulitahadharishwa tutumie kimiminika chake tu kilichochujwa vizuri na tusijahidi tusile hata kipande kidogo cha nyama ya mkate huo maana tuliambiwa ukivimeza vinaweza kukua katika tumbo la Binadamu.
Ila kwa ushauri tu, jaribu kutembelea hizi Chinese restaurants naamini watakupa pa kuanzia.
Ukifanikiwa usisahau kutupatia mrejesho, maana naamini wahitaji ni wengi ila hawajui pa kuanzia.
Ninao huo mmea 0616607890IringaNaitaifuta hii kitu, kwetu tuliita TEA TREZZA
Hello! Huo mmea ninao niko iringa! 0616607890Tangu miaka hii hukuona umuhimu wa kushare hiyo mmea na mtu yoyote ili na wengine pia wafaidike na hata kuendeleza zaidi. Leo usingeleta hii stori hapa.
Karibu! Napatikana iringa 0616607890Tangu miaka hii hukuona umuhimu wa kushare hiyo mmea na mtu yoyote ili na wengine pia wafaidike na hata kuendeleza zaidi. Leo usingeleta hii stori hapa.
Kwayu alipotoka hapo kwenu alikuja kwetu ilboru kipindi icho alikuwepo headmaster mmoja anaitwa kitemango aligomewa na wanafunzi akahamishwa karatu boys. Kwayu alikuwa teacher na mlezi mmoja safi sana, Ile kitemango na Yule mzee aliyekuwa anatoa watu wanalala kwenye umande na blanket aka chief sintomsahau.Mzee Kwayu alikuwa ni the best Principal kwa ile shule. Alipoondoka likaja dubwana fulani linaitwa chavila. Lile zee sijui lilitumwa. Likaja na system ya roll call, kukamata watoro, likaziba lile geti dogo la kuingilia jangwani kule.
Lile zee jamani....