Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
Mheshimiwa Charlene Ruto anafaa kuongoza Wizara ya vijana au Michezo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ruto hawezi Fanya kosa Hilo kwa wakati huuMheshimiwa Charlene Ruto anafaa kuongoza Wizara ya vijana au Michezo
Ruto Hajali. Ikiwa kama alitaka kuwapeleka waliovamia Bunge mahakamani kama WAHAINI unamuona timamu?Ruto hawezi Fanya kosa Hilo kwa wakati huu
Ni kweli ila sio kwa Hali ilivyo sasa yeye mwenyewe amekalia kuti kavuRuto Hajali. Ikiwa kama alitaka kuwapeleka waliovamia Bunge mahakamani kama WAHAINI unamuona timamu?
Kama ana sifa kwanini asiteuliwe? Ungekuwa ruto ungetaka mwanao awe jobless? Waafrika tuache unafiki. Ni vile hatujashika madarakaNepotism,
Mtoto kama ni jobles aende akasimamie mali za wizi za babaKama ana sifa kwanini asiteuliwe? Ungekuwa ruto ungetaka mwanao awe jobless? Waafrika tuache unafiki. Ni vile hatujashika madaraka
Wengi tusichokijua ni kwamba raisi anapokuwa madarakani pale yupo kazini kwake kama wewe unavyo enda kazini kwako. Sasa maslahi ya nani yanakuja kwanza? Ya familia yako au ya watu wengine? Jibu ni maslahi ya familia yako kisha wengine. Hivyo ndivyo binadamu alivyo kwa asili. Usihadaike na wanao jifanya wazalendo kutembea na skafu za bendera shingoni huku watoto wao wakisoma kwenye ahule zenye ada ya zaidi ya milioni 40. Unadhani mishahara yao inagika huko!Mtoto kama ni jobles aende akasimamie mali za wizi za baba
Ndio alivyokuambia?😎Ruto hajapata usingizi karibu mwezi sasa....
Ruto anajua anachofanya ni suala la muda tu. Anakimbiza Gen Z kimya kimyaNdio alivyokuambia?😎
Sidhani hii ni kama kazi ya Ruto. Usikute ni wabaya wa Ruto. Kwanini mwili uonekane wakati wa maandalizi ya maandamano mengine?Ruto anajua anachofanya ni suala la muda tu. Anakimbiza Gen Z kimya kimya
Mzee anaenda kujikanyaga pabayaMheshimiwa Charlene Ruto anafaa kuongoza Wizara ya vijana au Michezo