Tetesi: Charlene Ruto kuwa Waziri wa Vijana au Michezo

Mtoto kama ni jobles aende akasimamie mali za wizi za baba
Wengi tusichokijua ni kwamba raisi anapokuwa madarakani pale yupo kazini kwake kama wewe unavyo enda kazini kwako. Sasa maslahi ya nani yanakuja kwanza? Ya familia yako au ya watu wengine? Jibu ni maslahi ya familia yako kisha wengine. Hivyo ndivyo binadamu alivyo kwa asili. Usihadaike na wanao jifanya wazalendo kutembea na skafu za bendera shingoni huku watoto wao wakisoma kwenye ahule zenye ada ya zaidi ya milioni 40. Unadhani mishahara yao inagika huko!

Funguka akili mkuu hakuna anaegombea kiti ili aje anufaishe wengine halafu wa nyumbani kwake wawe hohehahe
 
Ruto anajua anachofanya ni suala la muda tu. Anakimbiza Gen Z kimya kimya
Sidhani hii ni kama kazi ya Ruto. Usikute ni wabaya wa Ruto. Kwanini mwili uonekane wakati wa maandalizi ya maandamano mengine?
Ruto alivhomoka The Hague naona wabaya wake wanataka kumrudisha. Na kwa maoni yangu Ruto akipita hapa atakuwa kiongozi mzuri sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…