Charles Kimei: Serikali itakuwa tayari kurejesha Kodi iliyokusanywa kwa shinikizo? Mwigulu amjibu

Charles Kimei: Serikali itakuwa tayari kurejesha Kodi iliyokusanywa kwa shinikizo? Mwigulu amjibu

Kashifa imetendwa na wakaguzi.

Hii nchi bado tu watu wana kwapua fedha za umma?! Duh!!

watu wanjilipa mamilioni kwa kazi isiyo na kichwa wala miguu!!! wakati huo huo kuna haki za watumishi wanadai malimbikizo yao ya mishahara miaka mingi hapo hazina!!

kuna watu hata roho ya kibinaadamu hawana kabisa!
 
dhambi za kukalia haki za watu pasina huruma kamwe hazitowaacha salama.
 
Ni vigumu sana kuitenganisha CCM na ibilisi , ibilisi na CCM , ufisadi na wizi wa mali ya umma na CCM ni chanda na pete hapo waziri mkuu kaficha mengi kafunika kombe kuwaokoa , Doto James ,Bashiru na kundi lake halafu anawaonea na kuwasimisha watu wadogowadogo anaacha mafisadi papa ? Mbona ripoti ya January - March aliyoagiza rais haitolewi hadharani ?
 
Back
Top Bottom