Wala sitaki mawazo yangu yawe yako.Nataka tu Kimei apewe wizara ya Elimu ili atuonesha namna ya kuboresha mfumo wa elimu kwa vitendo na sio kwa maneno kama NdalichakoNimemtetea wapi Ndalichako? Au wapi nimemponda Kimei!?
Au unataka mawazo yako yawe yanguπ π π π π π π
Kipaimara ubarikio na sikukuu za watoto huwa unawavalisha mitumba? Nguo oversize wanashona watani wangu mafundi wa kisambaa na kipemba badiisha mafundiNa mitumba yote hii kuna mtu anavaa nguo za kushonesha zinazotoka oversize in most cases?
Zipo namtetea kibaka akigusa ananasa zina umeme live ni za wayaHiyo electric fence ikoje.....mm pia nawaza electric fence
Yale yale!!! Mawazo ya Ccm. Je wakisha jifunza wote ufundi hivyo watakavyo tengeneza ni nani ata nunua? Na wana pata wapi mitaji ya kuanzisha shughuli zao wakati wana madeni ya kukopeshwa na Serikali ya Ccm pesa za kujisomesha?Salamu wakuu, nilipata nafasi ya kutizama Bunge Leo wakati wa majadiliano ya hotuba ya Raisi, kwa moyo mmoja kabisa nimpongeze mbunge Charles kimei kwa kufikiri na kutoa mawazo ya nje ya box.
Graduates kwa sasa ni wengi mtaani hakuna ajira za kutosha kila anayegraduate kuajiriwa, ni wakati wa meza kupinduliwa kazi za mikono ziwekewe kipaumbele kikubwa kwenye system ya elimu...mitaala itanduliwe tupone, hii mind set ya MTT akimaliza Chuo aajiriwe akashike kalamu tu kwenye kiyoyozi ife, vijana wapewe skills za maisha zinazotumika kila Siku.
Kuna skills zingine mie nilisoma sijui unaiapply VP kwenye maisha ya kawaida serious!. Mh. Kimei Ameishauri serikali kuwekeza zaidi kwenye skills ambazo ajira zake zinaakisi maisha yetu ya kila siku kina fundi simu ,magari na the likes VETA izidi kukua.
Tuliyosoma VETA naona sahv wenyewe mnatutambua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] zamani tulikuwa tunadharaulikaCharles Kimei ni msomi aliyeelimika mwenye kujua jinsi ya kuitumia elimu yake kwa matumizi sahihi ya mazingira yaliyopo
Hongera kwake mbunge wa Vunjo
Wahindi matajiri wakubwa miji mingi wanazeekea nyumba za kupanga za msajili wa majumba za NHC unasemaje kuhusu hilo? Watoto wao wanawasomesha vyuo bora ulaya na Marekani na Canada na Australia wakiwa wao wapangaji tu NHC unaliongeleaje hilo ?wakati kuna waswahili wana bonge ya mijumba watoto wao wanasoma kayumba school or college!!! Na taa zote usiku wanazima jumba liwe giza kuogopa bill za umeme za Tanesco? Kujenga nyumba ya kulala na kuamka ndio unaona umetoka kimaisha lofa wewe?kiongozi wa Ujerumani Angela Merkel anaishi apartment ya kupanga ya vyumba vitatu maisha yake yote!!! But she is a billionnaire wewe una nini?Ni kweli, ila atazeekea kwenye nyumba ya kupanga, maana hicho kipato kutoka ni majaliwa.
Hongera sana mrangiTuliyosoma VETA naona sahv wenyewe mnatutambua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] zamani tulikuwa tunadharaulika
Ova
Popote pale itakusaidia mkuuYale yale!!! Mawazo ya Ccm. Je wakisha jifunza wote ufundi hivyo watakavyo tengeneza ni nani ata nunua? Na wana pata wapi mitaji ya kuanzisha shughuli zao wakati wana madeni ya kukopeshwa na Serikali ya Ccm pesa za kujisomesha?
Mara nyingi huwa nasema wazee wakae nyumbani wacheze na wajukuu. Wasichukulie siasa kama ni kazi ya wastaafu.
Wakati wao wasomi walikua wanatafutwa na waajiri, na wakati huu wasomi wanatafuta kazi na kazi hazipatikanisijui ni wangapi wa kariba yake waliojiajiri
nlikaaga nchi moja mchanga wa chuma nlichomea sana mavyumaHongera sana mrangi
Kipaimara ubarikio na sikukuu za watoto huwa unawavalisha mitumba? Nguo oversize wanashona watani wangu mafundi wa kisambaa na kipemba badiisha mafundi
Mkuu uko sahihi, lakini implementations za hizi skills lazima ziendane na uhalisia. Kwa mfano, mtu anaamua kujiajiri katika sekta isiyo rasmi, kitendo cha kujiajiri ni kigumu sana, na changamoto zake si mchezo (waliojiajiri wanajua). Ninaposema ziendane na uhalisia, namaanisha taasisi zinazohusika (TRA, SIDO, Halmashauri nk) inabidi zilegeze kamba hasa kwa vijana wanaoanza, ziwalee (incubation) na kuwawezesha kwa namna flani ili waweze kusimama. Vijana wakisimama inaongeza wigo wa ajira si kwao to, hata kwa wale ambao wataajiriwa nao.Salamu wakuu, nilipata nafasi ya kutizama Bunge Leo wakati wa majadiliano ya hotuba ya Raisi, kwa moyo mmoja kabisa nimpongeze mbunge Charles kimei kwa kufikiri na kutoa mawazo ya nje ya box.
Graduates kwa sasa ni wengi mtaani hakuna ajira za kutosha kila anayegraduate kuajiriwa, ni wakati wa meza kupinduliwa kazi za mikono ziwekewe kipaumbele kikubwa kwenye system ya elimu...mitaala itanduliwe tupone, hii mind set ya MTT akimaliza Chuo aajiriwe akashike kalamu tu kwenye kiyoyozi ife, vijana wapewe skills za maisha zinazotumika kila Siku.
Kuna skills zingine mie nilisoma sijui unaiapply VP kwenye maisha ya kawaida serious!. Mh. Kimei Ameishauri serikali kuwekeza zaidi kwenye skills ambazo ajira zake zinaakisi maisha yetu ya kila siku kina fundi simu ,magari na the likes VETA izidi kukua.
Uko sahihi kabisa, sasa ingia kwenye hizo nyumba za wahindi uone ni wangapi katika familia zao wana uraia wa Tanzania. Ukikuta familia ya wahindi wako watano ndani ya nyumba, sio zaidi ya wawili wenye uraia wa Tanzania. Na ikitokea vurugu ama hatari ya biashara zao wanakimbia nchi. Je ww mmatumbi ni wangapi kwenye familia, ukoo ama kabila lenu wana uraia wa nje? Muhindi hajengi kwasababu hapa sio kwao.Wahindi matajiri wakubwa miji mingi wanazeekea nyumba za kupanga za msajili wa majumba za NHC unasemaje kuhusu hilo? Watoto wao wanawasomesha vyuo bora ulaya na Marekani na Canada na Australia wakiwa wao wapangaji tu NHC unalionygeleaje hilo ?wakati kuna waswahili wana bonge ya mijumba watoto wao wanasoma kayumba school or college!!! Na taa zote usiku wanazima jumba liwe giza kuogopa bill za umeme za Tanesco? Kujenga nyumba ya kulala na kuamka ndio unaona umetoka kimaisha lofa wewe?kiongozi wa Ujerumani Angela Merkel anaishi apartment ya kupanga ya vyumba vitatu maisha yake yote!!! But she is a billionnaire wewe una nini?
Akili matope.. Serikali ije na mokakati ya kuwapa vijana ajira. Kimei kastaafu ati leo ni mbunge. Vijana wana pata. Wapi ajira kama wao hawataki kuachia nafasi?Popote pale itakusaidia mkuu
Unaweza kwenda marekani au ulaya etc
Una masters na masters yko hio unaweza usipate ajira uliyoitegemea utajikuta una baby seat au kubeba mabox
Ila inawezekana huko kuna kazi za skills zilikutokea ukashindwa tu kwa sababu huna uzoefu huo
Ova
Ndio hao ma Mc, wapiga picha na wapishi sasa serikali ina taka walipe kodi..Mkuu uko sahihi, lakini implementations za hizi skills lazima ziendane na uhalisia. Kwa mfano, mtu anaamua kujiajiri katika sekta isiyo rasmi, kitendo cha kujiajiri ni kigumu sana, na changamoto zake si mchezo (waliojiajiri wanajua). Ninaposema ziendane na uhalisia, namaanisha taasisi zinazohusika (TRA, SIDO, Halmashauri nk) inabidi zilegeze kamba hasa kwa vijana wanaoanza, ziwalee (incubation) na kuwawezesha kwa namna flani ili waweze kusimama. Vijana wakisimama inaongeza wigo wa ajira si kwao to, hata kwa wale ambao wataajiriwa nao.
Dr. Kimei ni muongo, mnafiki na mjinga.Salamu wakuu, nilipata nafasi ya kutizama Bunge Leo wakati wa majadiliano ya hotuba ya Raisi, kwa moyo mmoja kabisa nimpongeze mbunge Charles kimei kwa kufikiri na kutoa mawazo ya nje ya box.
Graduates kwa sasa ni wengi mtaani hakuna ajira za kutosha kila anayegraduate kuajiriwa, ni wakati wa meza kupinduliwa kazi za mikono ziwekewe kipaumbele kikubwa kwenye system ya elimu...mitaala itanduliwe tupone, hii mind set ya MTT akimaliza Chuo aajiriwe akashike kalamu tu kwenye kiyoyozi ife, vijana wapewe skills za maisha zinazotumika kila Siku.
Kuna skills zingine mie nilisoma sijui unaiapply VP kwenye maisha ya kawaida serious!. Mh. Kimei Ameishauri serikali kuwekeza zaidi kwenye skills ambazo ajira zake zinaakisi maisha yetu ya kila siku kina fundi simu ,magari na the likes VETA izidi kukua.
Yaani nikisomaga comments kama za mleta mada nazidi kuelewa Nchi ina WAPUMBAVU wa kiwango gani!....Kimei anajipya gani ameshindwa kumuiga Dr Rashid aliekuwa BOT sasa anaendesha Bank yake ya Amana Kimei kapiga Hela kashindwa hata kuanzisha Saccos amekimbilia mbeleko ya ccm leo mjinga mmoja anakuja kuharisha humu daah