Charles Kimei: Serikali iwekeze kwenye Elimu ya ujuzi ambayo inaakisi maisha yetu ya kila siku

Charles Kimei: Serikali iwekeze kwenye Elimu ya ujuzi ambayo inaakisi maisha yetu ya kila siku

Nimemtetea wapi Ndalichako? Au wapi nimemponda Kimei!?
Au unataka mawazo yako yawe yangu๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Wala sitaki mawazo yangu yawe yako.Nataka tu Kimei apewe wizara ya Elimu ili atuonesha namna ya kuboresha mfumo wa elimu kwa vitendo na sio kwa maneno kama Ndalichako
 
Na mitumba yote hii kuna mtu anavaa nguo za kushonesha zinazotoka oversize in most cases?
Kipaimara ubarikio na sikukuu za watoto huwa unawavalisha mitumba? Nguo oversize wanashona watani wangu mafundi wa kisambaa na kipemba badiisha mafundi
 
Salamu wakuu, nilipata nafasi ya kutizama Bunge Leo wakati wa majadiliano ya hotuba ya Raisi, kwa moyo mmoja kabisa nimpongeze mbunge Charles kimei kwa kufikiri na kutoa mawazo ya nje ya box.

Graduates kwa sasa ni wengi mtaani hakuna ajira za kutosha kila anayegraduate kuajiriwa, ni wakati wa meza kupinduliwa kazi za mikono ziwekewe kipaumbele kikubwa kwenye system ya elimu...mitaala itanduliwe tupone, hii mind set ya MTT akimaliza Chuo aajiriwe akashike kalamu tu kwenye kiyoyozi ife, vijana wapewe skills za maisha zinazotumika kila Siku.

Kuna skills zingine mie nilisoma sijui unaiapply VP kwenye maisha ya kawaida serious!. Mh. Kimei Ameishauri serikali kuwekeza zaidi kwenye skills ambazo ajira zake zinaakisi maisha yetu ya kila siku kina fundi simu ,magari na the likes VETA izidi kukua.
Yale yale!!! Mawazo ya Ccm. Je wakisha jifunza wote ufundi hivyo watakavyo tengeneza ni nani ata nunua? Na wana pata wapi mitaji ya kuanzisha shughuli zao wakati wana madeni ya kukopeshwa na Serikali ya Ccm pesa za kujisomesha?
Mara nyingi huwa nasema wazee wakae nyumbani wacheze na wajukuu. Wasichukulie siasa kama ni kazi ya wastaafu.
 
Charles Kimei ni msomi aliyeelimika mwenye kujua jinsi ya kuitumia elimu yake kwa matumizi sahihi ya mazingira yaliyopo
Hongera kwake mbunge wa Vunjo
Tuliyosoma VETA naona sahv wenyewe mnatutambua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] zamani tulikuwa tunadharaulika

Ova
 
Ni kweli, ila atazeekea kwenye nyumba ya kupanga, maana hicho kipato kutoka ni majaliwa.
Wahindi matajiri wakubwa miji mingi wanazeekea nyumba za kupanga za msajili wa majumba za NHC unasemaje kuhusu hilo? Watoto wao wanawasomesha vyuo bora ulaya na Marekani na Canada na Australia wakiwa wao wapangaji tu NHC unaliongeleaje hilo ?wakati kuna waswahili wana bonge ya mijumba watoto wao wanasoma kayumba school or college!!! Na taa zote usiku wanazima jumba liwe giza kuogopa bill za umeme za Tanesco? Kujenga nyumba ya kulala na kuamka ndio unaona umetoka kimaisha lofa wewe?kiongozi wa Ujerumani Angela Merkel anaishi apartment ya kupanga ya vyumba vitatu maisha yake yote!!! But she is a billionnaire wewe una nini?
 
Yale yale!!! Mawazo ya Ccm. Je wakisha jifunza wote ufundi hivyo watakavyo tengeneza ni nani ata nunua? Na wana pata wapi mitaji ya kuanzisha shughuli zao wakati wana madeni ya kukopeshwa na Serikali ya Ccm pesa za kujisomesha?
Mara nyingi huwa nasema wazee wakae nyumbani wacheze na wajukuu. Wasichukulie siasa kama ni kazi ya wastaafu.
Popote pale itakusaidia mkuu
Unaweza kwenda marekani au ulaya etc
Una masters na masters yko hio unaweza usipate ajira uliyoitegemea utajikuta una baby seat au kubeba mabox
Ila inawezekana huko kuna kazi za skills zilikutokea ukashindwa tu kwa sababu huna uzoefu huo

Ova
 
Hongera sana mrangi
nlikaaga nchi moja mchanga wa chuma nlichomea sana mavyuma
Wenzangu walikuwa wana sebnza mm nkapata
Mchongo mahali nkawa nafanya fabrication works...na iliniokoaa sanaa kuwa huko maana wabongo wengi mindset yao ilkuwa ni mazabe tu
Kuwa na skills kdg ilini save lasivyo ningeishia kubaya

Ova
 
Kipaimara ubarikio na sikukuu za watoto huwa unawavalisha mitumba? Nguo oversize wanashona watani wangu mafundi wa kisambaa na kipemba badiisha mafundi

Kipaimara na ubarikio ni matukio ya mara moja kwa mwaka. Posibility ya kutoka na ndogo.
 
Salamu wakuu, nilipata nafasi ya kutizama Bunge Leo wakati wa majadiliano ya hotuba ya Raisi, kwa moyo mmoja kabisa nimpongeze mbunge Charles kimei kwa kufikiri na kutoa mawazo ya nje ya box.

Graduates kwa sasa ni wengi mtaani hakuna ajira za kutosha kila anayegraduate kuajiriwa, ni wakati wa meza kupinduliwa kazi za mikono ziwekewe kipaumbele kikubwa kwenye system ya elimu...mitaala itanduliwe tupone, hii mind set ya MTT akimaliza Chuo aajiriwe akashike kalamu tu kwenye kiyoyozi ife, vijana wapewe skills za maisha zinazotumika kila Siku.

Kuna skills zingine mie nilisoma sijui unaiapply VP kwenye maisha ya kawaida serious!. Mh. Kimei Ameishauri serikali kuwekeza zaidi kwenye skills ambazo ajira zake zinaakisi maisha yetu ya kila siku kina fundi simu ,magari na the likes VETA izidi kukua.
Mkuu uko sahihi, lakini implementations za hizi skills lazima ziendane na uhalisia. Kwa mfano, mtu anaamua kujiajiri katika sekta isiyo rasmi, kitendo cha kujiajiri ni kigumu sana, na changamoto zake si mchezo (waliojiajiri wanajua). Ninaposema ziendane na uhalisia, namaanisha taasisi zinazohusika (TRA, SIDO, Halmashauri nk) inabidi zilegeze kamba hasa kwa vijana wanaoanza, ziwalee (incubation) na kuwawezesha kwa namna flani ili waweze kusimama. Vijana wakisimama inaongeza wigo wa ajira si kwao to, hata kwa wale ambao wataajiriwa nao.
 
Wajerumani wanaheshimu sana kitu inaitwa skil, ujuzi ni muhimu sana kwenye maisha na lazima ufahamu vitu zaidi ya hiyo barchelor yako ambayo ni makaratasi tu thamani yake ni ndogo sana wewe vyeti vinaonesha uligonga G.P.A ya maana lakini benki ukipeleka hicho cheti hawakitambui sasa cheti kina thamani hapo?
 
Wasomi wetu wengi nao ni mzigo ndio maana waliowengi japo sio wote mtu mwenye PHD nae analilia ajira, nilikua naangalia jinsi wanigeria wao walivoanza kutoka huko kitambo leo wale waliokua na skills mbalimbali ndio wana viwanda vya maana tena ni blacks sio asian wala nini
 
Wahindi matajiri wakubwa miji mingi wanazeekea nyumba za kupanga za msajili wa majumba za NHC unasemaje kuhusu hilo? Watoto wao wanawasomesha vyuo bora ulaya na Marekani na Canada na Australia wakiwa wao wapangaji tu NHC unalionygeleaje hilo ?wakati kuna waswahili wana bonge ya mijumba watoto wao wanasoma kayumba school or college!!! Na taa zote usiku wanazima jumba liwe giza kuogopa bill za umeme za Tanesco? Kujenga nyumba ya kulala na kuamka ndio unaona umetoka kimaisha lofa wewe?kiongozi wa Ujerumani Angela Merkel anaishi apartment ya kupanga ya vyumba vitatu maisha yake yote!!! But she is a billionnaire wewe una nini?
Uko sahihi kabisa, sasa ingia kwenye hizo nyumba za wahindi uone ni wangapi katika familia zao wana uraia wa Tanzania. Ukikuta familia ya wahindi wako watano ndani ya nyumba, sio zaidi ya wawili wenye uraia wa Tanzania. Na ikitokea vurugu ama hatari ya biashara zao wanakimbia nchi. Je ww mmatumbi ni wangapi kwenye familia, ukoo ama kabila lenu wana uraia wa nje? Muhindi hajengi kwasababu hapa sio kwao.
 
Popote pale itakusaidia mkuu
Unaweza kwenda marekani au ulaya etc
Una masters na masters yko hio unaweza usipate ajira uliyoitegemea utajikuta una baby seat au kubeba mabox
Ila inawezekana huko kuna kazi za skills zilikutokea ukashindwa tu kwa sababu huna uzoefu huo

Ova
Akili matope.. Serikali ije na mokakati ya kuwapa vijana ajira. Kimei kastaafu ati leo ni mbunge. Vijana wana pata. Wapi ajira kama wao hawataki kuachia nafasi?
 
Mkuu uko sahihi, lakini implementations za hizi skills lazima ziendane na uhalisia. Kwa mfano, mtu anaamua kujiajiri katika sekta isiyo rasmi, kitendo cha kujiajiri ni kigumu sana, na changamoto zake si mchezo (waliojiajiri wanajua). Ninaposema ziendane na uhalisia, namaanisha taasisi zinazohusika (TRA, SIDO, Halmashauri nk) inabidi zilegeze kamba hasa kwa vijana wanaoanza, ziwalee (incubation) na kuwawezesha kwa namna flani ili waweze kusimama. Vijana wakisimama inaongeza wigo wa ajira si kwao to, hata kwa wale ambao wataajiriwa nao.
Ndio hao ma Mc, wapiga picha na wapishi sasa serikali ina taka walipe kodi..
 
Salamu wakuu, nilipata nafasi ya kutizama Bunge Leo wakati wa majadiliano ya hotuba ya Raisi, kwa moyo mmoja kabisa nimpongeze mbunge Charles kimei kwa kufikiri na kutoa mawazo ya nje ya box.

Graduates kwa sasa ni wengi mtaani hakuna ajira za kutosha kila anayegraduate kuajiriwa, ni wakati wa meza kupinduliwa kazi za mikono ziwekewe kipaumbele kikubwa kwenye system ya elimu...mitaala itanduliwe tupone, hii mind set ya MTT akimaliza Chuo aajiriwe akashike kalamu tu kwenye kiyoyozi ife, vijana wapewe skills za maisha zinazotumika kila Siku.

Kuna skills zingine mie nilisoma sijui unaiapply VP kwenye maisha ya kawaida serious!. Mh. Kimei Ameishauri serikali kuwekeza zaidi kwenye skills ambazo ajira zake zinaakisi maisha yetu ya kila siku kina fundi simu ,magari na the likes VETA izidi kukua.
Dr. Kimei ni muongo, mnafiki na mjinga.
Kwenye kampeni amezunguka akiinadi ilani ya CCM inayosema CCM itatoa ajira zaidi ya milioni 8 kuanzia 2020-2025 kwa sababu imeweza kutoa ajira milioni 6 toka 2015-2020.

Leo anageuka na kusema kuwa vijana wengi hawana ajira na serikali haina ubavu wa kuwaajiri.
 
Sawa mkuu acha tuharishe lkn tupone ajira ni kwl hakuna,jua ni likali kwa graduates walio wengi ,Huoni au hauishi Tz? Hahaaaahaaaa yeye walau mtaala ulimsaidia SAA hizi anatafutia wajukuu wewe umeutumiaje mtaala?

umekufikisha wapi? Acheni utani kwenye mambo ya msingi...
Yaani nikisomaga comments kama za mleta mada nazidi kuelewa Nchi ina WAPUMBAVU wa kiwango gani!....Kimei anajipya gani ameshindwa kumuiga Dr Rashid aliekuwa BOT sasa anaendesha Bank yake ya Amana Kimei kapiga Hela kashindwa hata kuanzisha Saccos amekimbilia mbeleko ya ccm leo mjinga mmoja anakuja kuharisha humu daah
 
Back
Top Bottom