Charles Kitwanga atajwa kuhusika na kashfa ya ufisadi katika Jeshi la Polisi ya sh. bilioni 34

Charles Kitwanga atajwa kuhusika na kashfa ya ufisadi katika Jeshi la Polisi ya sh. bilioni 34

Status
Not open for further replies.
Ndio maana hawataki bunge lirushwe live kwa mambo kama haya .na hapo bado meya wa jiji la dar hajaanza kufumua uozo mkubwa .segerea na ukongo na keko zitanuliwe .na wezi wa kuku waachiwe .hivi bunge likirifiwa kuhusu hizi 34 billioni .kubenea na mdee na lissu kuleni jalamba ishu hii isipite ivi ivi
 
Akibainika kama kweli amepiga hilo deal atumbuliwe faster tumechoka sasa.
Unajuwa ni kabira gani huyo? Ukijuwa ni kabira gani basi habari za kutumbuliwa huyo sahau kabisa
 
Tanzania nadhan kimataifa tumelaaniwa huwezi kuweka cha juu kwenye ku supply mali ya umma halafu ulipwe na vile vile usisupply! Huu ni wizi mkubwa mchana kweupeeee
 
Nangojea, ili nitoe hukumu yangu. Mpaka sasa haya yote ni accusations, tuhuma. Sisi hatuamui juu ya tuhuma!
 
Kama ni laana basi na walaaniwe walioaminisha watu kuwa ccm imebadilika kama, Mwanakijiji, Polepole, Slaa, nk
 
We si ulibutua kopo la komborela sa sa ni zamu yako kuzinga
Tuone na tutazinga wote ili a
Hasiwepo wa kubutua kopo la kimborela
MACHO YA MPUMBAVU HAYAONI BUSARA YA MJINGA.
 
Nimesoma comments za watu wengi humu ndani nimegundua wana conclude na kuhukumu kabla hata ya kupata upande wa pili wa habari. Watanzania sasa hivi tumekuwa watu wa ajabu tunapenda na kufurahia watu wakipata shida, wakifukuzwa kazi, wakipelekwa mahakamani na kupata mateso. Sijui hata tunaelekea wapi. Sina uhakika na ukweli wa habari hii ila ninachojua Mkurugenzi wa Nida sio owner wa Infosys. Nimeshangaa kama mwandishi wa habari ameshindwa kufanya research kidogo tu na kujua nani owner wa Infosys, kwanini niendelee kuamini habari yote. Ukweli utajulikana tu. Lakini watanzania tuache ushabiki hasa kama hatujapata taarifa kutoka pande zote mbili.
 
Mh.Rais JPM tengua uteuzi wa viongozi waliotajwa na kamati ya Bunge ili TAKUKURU waingie kazini kwani bilioni 34 ni nyingi sana.Watanzania wengi watajua kweli umeamua kusafisha serikali.
 
ila kwa hili hata IGP alietangulia na huyu wa sasa hawalikwepi kwa namna moja ama nyingine.
 
Tunafahamu ukaribu wake na mkuu mwenyewe, jee alipewa wizara hiyo ili aje afiche madhambi ya nyuma?
Magu kweli hii bita ya ufisadi ataiweza kweli maana inaonyesha hakuna atakaye baki

Hakuna vita ya ufisadi hapo ni maigizo tuu
Na kuwaonea bwana wadogo kwenye utumishi wa umma na marafiki wa mpinzani wake wa urais.
 
Hata kama hakuwa waziri lakini alikuwa fisadi.Kitwanga anaelekea kuwa na tatizo la ufisadi.Katika sakata la Bank Kuu pia alitajwa.Wanaomjua watupe CV yake.Huyu mtu ni nani hasa.
Wakati huo hakuwa waziri wa wizara husika
 
Wanasema baniani mbaya kiatu chake dawa. Nadhani tunaanza kufika mwanzo wa mwisho wa utumbuaji wa majipu.
Ni kweli mkuu maana inaelekea Majipu yapo kila kona wengi ni marafiki wa mtumbua JIPU huenda akaamua kusitisha Hilo zoezi ili kuwastiri wote .
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom