Naona upo busy kutoa Rushwa ili kupoteza ushahidi wote kisha kesho uje ukanushe kuwa hakuna kilichofannyika kabsa, Watanzania wa Sasa wameamka wanajua mbinu zote mnazotumia kukwepa Majipu yasitumbuliwe .Nimesoma comments za watu wengi humu ndani nimegundua wana conclude na kuhukumu kabla hata ya kupata upande wa pili wa habari. Watanzania sasa hivi tumekuwa watu wa ajabu tunapenda na kufurahia watu wakipata shida, wakifukuzwa kazi, wakipelekwa mahakamani na kupata mateso. Sijui hata tunaelekea wapi. Sina uhakika na ukweli wa habari hii ila ninachojua Mkurugenzi wa Nida sio owner wa Infosys. Nimeshangaa kama mwandishi wa habari ameshindwa kufanya research kidogo tu na kujua nani owner wa Infosys, kwanini niendelee kuamini habari yote. Ukweli utajulikana tu. Lakini watanzania tuache ushabiki hasa kama hatujapata taarifa kutoka pande zote mbili.