Charles Kitwanga atajwa kuhusika na kashfa ya ufisadi katika Jeshi la Polisi ya sh. bilioni 34

Charles Kitwanga atajwa kuhusika na kashfa ya ufisadi katika Jeshi la Polisi ya sh. bilioni 34

Status
Not open for further replies.
Lugumu: Vituo 14 for Tzs.34 billion zilizo lipwa miaka mitatu iliyopita.
NIDA: ID million 2 tu for Tzs.167 billion already invested.
Ni wale wale na yale yale. Hii nchi ni shetani tu ambaye bado ni msafi mbele ya Mungu.
Wote watalindwa na kuishia maneno matupu bila vitendo .
 
Jpm kuna tetesi ataenda china,sio mbaya akajifunza jinsi ya kuwashunghulikia mafisadi one and for all! Akitoka china aenda south Korea kuna mengi saana ya kujifunza kutoka huko kwa Raisi wao.
Magufuli akitumia style ya China na South Korea Serikali yote itafungwa Jela maana hakuna Msafi wote wana madoa na madhambi Yao , ni vigumu kufuata sheria za China kwani tayari ameonyesha mfano Kwa kumlinda Mwakyembe juu ya Ununuzi wa mabehewa chakavu.
 
Hivi kunakuwaga hakuna taarifa za awali au tuseme uchunguzi wowote unaofanyika kabla ya mtu kutangazwa kuwa kiongozi mkubwa wa kiserikali mfano kama huyo waziri?

Huwezi kabisa kuelewa system ya hii nchi, Magufuli anajinasibisha kwa usafi wake binafsi na ule wa anaowateua, lakini wengi ni mabomu, tulianza na Mwakyembe, akaja Makamba na sasa huyo Kitwanga na mwenzie
 
Mkuu watakuwa walimshauri lakini wakati mwingine huamua kufumba macho na kuweka Chaguo lake binafsi matokeo yake ndiyo haya Sasa , itatumika pesa nyingi kwenye Rushwa kuhakikisha kuwa haingii kwenye kutumbuliwa JIPU , hizo pesa za kupoza Hilo Janga zingeweza kununua vitanda vya wagonjwa kule Mwananyamala Hosptal , Ilala na temeke na zikasalia Chenji .
 
Kama JPM ange hitaji mawaziri wasafi mwakyembe Na Muhongo wasinge kuwa mawaziri wa serikali ya awamu ya tano, pia makamba mpaka sasa asinge kuwa waziri ange chukua Hatua kali baada ya kashfa ya Koki Za mafuta kule bandalini Na hiii ya makamba ,Muda huu kitwanga angekuwa kaisha andika Barua ya kujiuzulu!kwa kuwa tuna lindana tutaendelea kuwatimu watumishi wa serikali huyu wana siasa wakifanya Kila aina ya uchafu wakiachwa!
 
huyo Lugumi mwenyewe ana mahekalu mbweni pembeni na jkt na majumba kibao kibao dar ikiwemo tandale,jengo la ATC pale posta 70% kapanga yeye,faniture zake hanunui keko anaagiza nje ni jipu hatari sana huyu jamaa eti usalama wa taifa
 
Kwenye ukweli lazima tuseme. Ila fisadi hata kama ni ndugu yangu siwezi kuvumilia ni lazima atumbuliwe. Nimejaribu kuelezea kwa jinsi ninavyoifahamu infosys IPS Ltd na Mh. Charles Kitwnga.
Ukweli upi unaosema ww kama doc za brela zinasomeka majina ya wawili hao au unataka kutuaminisha tukuamini ww na sio doc za brela
 
Kama JPM ange hitaji mawaziri wasafi mwakyembe Na Muhongo wasinge kuwa mawaziri wa serikali ya awamu ya tano, pia makamba mpaka sasa asinge kuwa waziri ange chukua Hatua kali baada ya kashfa ya Koki Za mafuta kule bandalini Na hiii ya makamba ,Muda huu kitwanga angekuwa kaisha andika Barua ya kujiuzulu!kwa kuwa tuna lindana tutaendelea kuwatimu watumishi wa serikali huyu wana siasa wakifanya Kila aina ya uchafu wakiachwa!
Magufuli ni mwanasiasa Safi hawezi kuwajibisha wanasiasa wenzake anachofanya ni kudeal watumishi tena ambao walimnyanyasa enzi za mzee wa msoga
 
nimeamini watanzania sie ni MBUMBUMBU kweli INfosys ni ya kitwanga?? mnanichekesha kwa hiyo hata

apple ni ya ridhiwani

microsoft ni ya jakaya

klm ni ya pinda

Kitwanga awe anamiliki Infosys angeutaka kijiuwaziri chenu hicho

JF ya watu ambao ni great thinkers iko wapi?? vi thread vya kipuuzi kama hivi vinajadiliwa kweli??

watu ambao ni ma NYUMBU wanajadili bila hata kuthink twice... okaya hata kama hujui kitu jaribuni ku google tatizo letu google tunakazi ya kufungua PORNHUB

infosys ni ya BILIONAIRE NARAYAN MURTHI na makao makuu yake ni Bangalore India na revenue ya $8 BILLIONS per year

14in6.jpg

infosys478.jpg

infosys.jpg

Mysore_India_Infosys.JPG

India_Technology.jpg
wewe ndo chenga kabisaaa.
 
Kama itakuwa ni kweli haki itendeke kwa speed ile waliotumbuliwa majipu wengine na wao pia watumbuliwe sheria ni msumeno.

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
kwa taarifa yako hata mwl nyerere na sokoine mwaka 84 kwenye zoezi la uhujumi uchumi walilishindwa baada ya kugundua wanasiasa wenzao ndio mapapa waliishia kudeal na watu wadogowadogo muulize mhe Hamad Rashid anajua kilichotokea
 
Hyo kitwanga mbona wanamuandama hivi.... inaonekana ni threat kwa watu fulani
 
hadi kipindi cha Nyerere????
kwa taarifa yako hata mwl nyerere na sokoine mwaka 84 kwenye zoezi la uhujumi uchumi walilishindwa baada ya kugundua wanasiasa wenzao ndio mapapa waliishia kudeal na watu wadogowadogo muulize mhe Hamad Rashid anajua kilichotokea

kwa taarifa yako hata mwl nyerere na sokoine mwaka 84 kwenye zoezi la uhujumi uchumi walilishindwa baada ya kugundua wanasiasa wenzao ndio mapapa waliishia kudeal na watu wadogowadogo muulize mhe Hamad Rashid anajua kilichotokea
 
Ndg.kwanza fanya marekebisho yafuatayo kwenye hoja yako:-

1. Rais siyo Rahisi.

2. Majipu yaliyoiva siyo hiva.

3. Hamna lolote siyo amna lolote.

4. Magazeti aliyotumia siyo haliyotumia,

5. Mbiguni hesabu siyo esabu.
Sawa faiza foxy, una ID zaidi ya 60 humu
 
..... kutafuta msafi ndani ya ccm ni sawa na kutafuta bikra kwa changudoa
 
Kama JPM ange hitaji mawaziri wasafi mwakyembe Na Muhongo wasinge kuwa mawaziri wa serikali ya awamu ya tano, pia makamba mpaka sasa asinge kuwa waziri ange chukua Hatua kali baada ya kashfa ya Koki Za mafuta kule bandalini Na hiii ya makamba ,Muda huu kitwanga angekuwa kaisha andika Barua ya kujiuzulu!kwa kuwa tuna lindana tutaendelea kuwatimu watumishi wa serikali huyu wana siasa wakifanya Kila aina ya uchafu wakiachwa!
Mkuu huo ndiyo Ukweli mtupu Pesa inayotumika kukwepa kutumbuliwa JIPU ingeweza kujenga Hisptal kubwa kuliko Muhimbili na kuajiri madaktari toka India ambapo wagonjwa wote wangeponea hapo na kumaliza Safari za kwenda India kutibiwa .
 
Comments nyingi zimejaa wivu tu na chuki. Huyo Kitwanga anawanyima usingizi.
Atakuwa anakunyima wewe Kwa kuwa umekula pesa zake na bado umeshindwa kumtetea unahofu utadaiwa Kwa kazi hewa uliyofanya.
 
Natafakari...
1. Charles Kitwanga ni msiri wa Dr.Magufuli na ndiye aliyeonekana katika video clip moja akimshauri Dr Magufuli "achukue fomu". Kweli Dr.Magufuli "alichukua fomu".
2. Mara ghafla anateuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, moja ya Wizara nyeti kabisa - maana inahusika na Usalama wa Raia na hata "Ujambazi" pia mara moja-moja.
3.Halaf muda si mrefu Mkurugenzi Mkuu wa NIDA anafukuzwa kazi na fasta-fasta anatafutwa mtu mmoja aitwaye Dr.Kipilimba na kuteuliwa Mkurugenzi Mkuu mpya wa NIDA - na inatangazwa kwamba mikataba yote ya NIDA ivunjwe;huyu Mkurugenzi Mkuu mpya wa NIDA ni business partner wa Waziri wa Mambo ya Ndani - Wizara ambayo ndo ina jukumu la kuratibu mradi wa Vitambulisho vya Taifa...
4. Charles Kitwanga na Dr.Kipilimba wote wamepata kufanya kazi pamoja BOT.

Ninachokiona:
Charles Kitwanga amemweka Dr. Magufuli mfukoni na Dr Magufuli hakika hafurukuti...hapa umetengenezwa mtandao wa kupiga pesa za serikali kwenye miradi yote inayohusiana na teknolojia ya habari na mawasiliano, na hasa ile inayohusu taasisi zinazosimamiwa na Wizara ya Mambo ya Ndani.

Najiuliza...
Na hakika hapa najiuliza tu...how clean is Dr Magufuli?

Birds of the same feather...??
Dirty ones too fly together
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom