Charles Kitwanga atajwa kuhusika na kashfa ya ufisadi katika Jeshi la Polisi ya sh. bilioni 34

Charles Kitwanga atajwa kuhusika na kashfa ya ufisadi katika Jeshi la Polisi ya sh. bilioni 34

Status
Not open for further replies.
Mkuu Dolevaby huku JF siku hizi Kuna watu wachache wenye uelewa haba so utaumiza kichwa. Zamani kukiwa na werevu wa kutosha tuliomba source kwanza na hata evidence. Siku hizi mtu yeyote lakibanwa ananunua vijana wanakuja huku kudivert issue ya msingi ili watu wasahau hoja muhimu. Wanakubali kila bandiko bila hata kuchuja. Habari sana. Usiamini vitu vya huku siku hizi mpaka ukune kichwa chako mwenyewe. Ni kijiwe cha kuchafuana siku hizi.
 
Sorry, might be wrong, but I thought mmiliki wa Infosys ni Ali Mfuruki au nimechanganya kitu???
 
Tusubiri uchunguzi wa takururu Na jeshi la polisi kabla hatujawahukumu.
Sasa kuna mtindo Watu kuleta mada sio za kweli humu JF.
Kuwa jaribu sifa zao hao watuhumiwa
Wa habari fake.
 
Huyu waziri aliwapiga fitna viongozi wa NIDA na Uhamiaji mpaka walitumbuliwa kumbe yeye mwenyewe jipu
 
Napata kuunganisha dots! Wengi wa mawaziri na katibu wakuu wanafanya biashara na serikali na kuuiba juu! Kitwanga ndie atakuwa amemshauri JPM huyo best yake aingie NIDA pale! Amtoe BoT ampe NIDA!
daaaah uko vizuri sana mkuu huu ubest wa kupeana kazi vigogo ndio wanaongoza, kitwanga na kipilimba wanapiga deal.moja, sasa huko Nida si itakuwa tatizo hahahahaha wameruka mkojo wamekanyaga mavi
 
Tusubiri uchunguzi wa takururu Na jeshi la polisi kabla hatujawahukumu.
Sasa kuna mtindo Watu kuleta mada sio za kweli humu JF.
Kuwa jaribu sifa zao hao watuhumiwa
Wa habari fake.
mkuu magazeti nayo yamedanganya hahahahaha au unaubia nao?
 
Mkuu Dolevaby huku JF siku hizi Kuna watu wachache wenye uelewa haba so utaumiza kichwa. Zamani kukiwa na werevu wa kutosha tuliomba source kwanza na hata evidence. Siku hizi mtu yeyote lakibanwa ananunua vijana wanakuja huku kudivert issue ya msingi ili watu wasahau hoja muhimu. Wanakubali kila bandiko bila hata kuchuja. Habari sana. Usiamini vitu vya huku siku hizi mpaka ukune kichwa chako mwenyewe. Ni kijiwe cha kuchafuana siku hizi.
magazeti.nayo yamedanganya mkuu?
 
Mkuu Uchunguzi hapo haupo na haitakuwepo kabsa bali watazuga wanachunguza na jawabu utapewa kuwa tuhuma ni feki hawana Tatizo wapo safi .
Mkuu, kwa Dr. Magufuli lazima watachunguza na ukweli utawekwa wazi.
 
nimeamini watanzania sie ni MBUMBUMBU kweli INfosys ni ya kitwanga?? mnanichekesha kwa hiyo hata

apple ni ya ridhiwani

microsoft ni ya jakaya

klm ni ya pinda

Kitwanga awe anamiliki Infosys angeutaka kijiuwaziri chenu hicho

JF ya watu ambao ni great thinkers iko wapi?? vi thread vya kipuuzi kama hivi vinajadiliwa kweli??


watu ambao ni ma NYUMBU wanajadili bila hata kuthink twice... okaya hata kama hujui kitu jaribuni ku google tatizo letu google tunakazi ya kufungua PORNHUB

infosys ni ya BILIONAIRE NARAYAN MURTHI na makao makuu yake ni Bangalore India na revenue ya $8 BILLIONS per year




14in6.jpg




infosys478.jpg






infosys.jpg










Mysore_India_Infosys.JPG









India_Technology.jpg
 
Nina uhakaika asilimia 100% Mkurugenzi wa NIDA siyo mmoja ya wamiliki wa infosys. Ndiyo, Kitwanga ni mmoja ya shareholder wa infosys IPS Ltd. Kampuni ya infosys IPS Ltd ni moja ya kampuni chache za IT zenye ufanisi mkubwa na uadilifu ktk utendaji. Ni kampuni ambayo hutimiza ahadi siku zote. Infosys IPS Ltd imewahi kufanya miradi mikubwa sana na wateja kama wizara ya fedha, TRA etc, na kote huko haikuwahi kuchelewesha kazi. Tusubiri naamini kukatakuwa na sababu za kwa nini Lugumi walichelewa au wamechelewa kutekeleza mradi. Hivyo infosys IPS Ltd na Charles Kitwanga ni kampuni safi na Mh. Charles Kitwanga ni muadilifu na mchapa kazi.
Naweza kusema una matatizo ya akili! Infosys na yule mwanahisa wa PPP. Kampuni ya kitapeli unaita eti humaliza muda kwa wakati, so wahat? Miradi yKe yote ni ya wizi, overpaid, inflated payments. Ni majizi tu!
 
nimeamini watanzania sie ni MBUMBUMBU kweli INfosys ni ya kitwanga?? mnanichekesha kwa hiyo hata

apple ni ya ridhiwani

microsoft ni ya jakaya

klm ni ya pinda

Kitwanga awe anamiliki Infosys angeutaka kijiuwaziri chenu hicho

JF ya watu ambao ni great thinkers iko wapi?? vi thread vya kipuuzi kama hivi vinajadiliwa kweli??


watu ambao ni ma NYUMBU wanajadili bila hata kuthink twice... okaya hata kama hujui kitu jaribuni ku google tatizo letu google tunakazi ya kufungua PORNHUB

infosys ni ya BILIONAIRE NARAYAN MURTHI na makao makuu yake ni Bangalore India na revenue ya $8 BILLIONS per year




14in6.jpg




infosys478.jpg






infosys.jpg










Mysore_India_Infosys.JPG









India_Technology.jpg
Haaa yani Wewe ndie pumba kabisa sheria inasemaje kwa kusajiri kampuni ya nje ndani ya inchi lazima rahia mmoja wa inchi usika awe na nafasi ya ukurugenzi. Jingine hii Ni offshore company kuna sheria zake. Au nataka uretewe Faili la panama uone watanzania wangapi weficha maela??
Hahaha kazi ipo wanataka msafi wao pia wachafu
 
David Cameron is genius politician and he knows how to play with British minds. Suala la Panama Ni dogo kwake kuliruka ukizingatia kuwa yote yamefanyika akiwa nje ya system. Cameron anaijua vizuri chama chake cha conservative zaidi ya Brown anavyoijua Labour . Hivi unategemea jembe Kama KGB PUTIN ajiuzulu kisa zile nyaraka za Panama ? Hiyo itakuwa sawa Na kusubiri mabasi ya Zanzibar hapo Kivukoni Feri.

Sure!ila zenji wana chai maharage sio mabasi km uku bara.
 
Na kitakachofuata ni kesi/tuhuma za wabunge kupokea rushwa zote kupigwa chini kwa kisingizio cha kukosekana ushahidi.Hii ndio inaitwa system.
Hii ndiyo Tanzania kila jambo linawezekana Rushwa inatembea Kwa kasi matokeo ya hizo tuhuma yatawashangaza wengi.
 
Kamanda kwa huyo jamaa na MAGU inavyosemekana ni sawa na Mizizi na udongo....so hata kama atakuwa na Kashfa kutegemea amtumbue nisawa na kungoja....MELI Airport... Maana utasubiri sana
Magufuli atamlinda Kama alivyomlinda Mwakyembe kwenye Ununuzi wa mabehewa chakavu .
 
Akibainika ni kweli kahusika aachie hiyo nafasi atakuwa amekosa sifa haijalishi alifanya kabla ya kuwa waziri pale au laa
Analindwa sana hawezi kubainika milele , wewe Subiria maajabu ya Dunia utashangaa mpaka unazeeka.
 
Dr. Magufuli, kama tuhuma hizi hukuzijua wakati wa teuzi za hawa watu, basi usisubiri cha ajabu. Wafukuze tu mara moja. Its about integrity ya serikali yako. Kama umejifunza kitu kutoka kwa Paul Kagame, Gen. Buhari, this is it. By the way, wote wamekula kiapo cha code of ethics.

Jpm kuna tetesi ataenda china,sio mbaya akajifunza jinsi ya kuwashunghulikia mafisadi one and for all! Akitoka china aenda south Korea kuna mengi saana ya kujifunza kutoka huko kwa Raisi wao.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom