Lancashire
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 14,081
- 10,455
Subiri vyombo vya uchunguzi vifanye kazi yake.wakati wa kulindana umekwisha Kama anahusia atawajibishwa.hatutaki utueleze wewe tuajuwaje labda mjomba wako?Nina uhakaika asilimia 100% Mkurugenzi wa NIDA siyo mmoja ya wamiliki wa infosys. Ndiyo, Kitwanga ni mmoja ya shareholder wa infosys IPS Ltd. Kampuni ya infosys IPS Ltd ni moja ya kampuni chache za IT zenye ufanisi mkubwa na uadilifu ktk utendaji. Ni kampuni ambayo hutimiza ahadi siku zote. Infosys IPS Ltd imewahi kufanya miradi mikubwa sana na wateja kama wizara ya fedha, TRA etc, na kote huko haikuwahi kuchelewesha kazi. Tusubiri naamini kukatakuwa na sababu za kwa nini Lugumi walichelewa au wamechelewa kutekeleza mradi. Hivyo infosys IPS Ltd na Charles Kitwanga ni kampuni safi na Mh. Charles Kitwanga ni muadilifu na mchapa kazi.
Nawakumbusha wanafiki kama wewe wanaodhani Rushwa na wizi upo ccm tu wakati malalamiko hayo yapo mpaka kwny Vyama vya Upinzani, Misikitini, Makanisani, Saccos na kwny Vicoba. Unafiki ni mbaya sawa na Rushwa.
Sitetei, ila ninakataa upotoshaji.acha kutetea maovu na kuwasafisha wahalifu...
Kaah! Tatukuru au TAKUKURU, kweli ulimi hauna mfupaMagufuli mweke kando huyo ili TATUKURU wamchunguze.
Ushaambiwa mh.waziri ni mmoja wa wamiliki wa hiyo kampuni au hujui kusoma?Huu ni umbeya. Mwandishi alishindwa nini kutafuta majina ya wamiliki wa infosysy na uhusiano wao na hao wamiliki wa lugumi enterprise! Huyu wanayemtaja tumeanza kumsikia na kuingia kwenye mazungumzo ya mitandaoni baada ya kupewa uwaziri, haya leo hii anaandamwa na ufisadi!
Umeongea point mkuu.Hii itapita kama ya makamba, ni upepo tu. Mtu kama chenge mwenye kashfa za wazi wazi hajachukuliwa hatua,leo ni mwenyekiti wa bunge itakuwa hao?
sasa hivi wabunge wameamka, ukimwaga mboga watu wanamwaga ugali, mawe matatuKama Bunge lisipokubali kupiga vigelegele na likafuatilia, hakuna mtu atapona.
Kazi ya Bunge ni kuishauri na KUISIMAMIA serikali. Likitimiza wajibu hizo mbili nchi itarudi kwenye mstari
Membe aliisema hili suala, sasa hivi hali ni tete , kama wabunge wameshtakiwa, ww unafikiri wao watakaa kimya ?Ninachokiona kwenye serikali ya Mh.watendaji wanaumizwa lakini wanasiasa ambao ndio mafisadi papa wanaachwa.huu ni udhaifu mkubwa alionao rais wetu. Labda kwa sababu kawateua yeye.
Ndg.kwanza fanya marekebisho yafuatayo kwenye hoja yako:-
1. Rais siyo Rahisi.
2. Majipu yaliyoiva siyo hiva.
3. Hamna lolote siyo amna lolote.
4. Magazeti aliyotumia siyo haliyotumia,
5. Mbiguni hesabu siyo esabu.
mawe matatuHili nalo litapita kama lile la mtu na dadake
angalia baadhi ya maneno yako tumia kauli nzur sio kila mmoja ataungana na wazo lako democrcy inatawala na sio kila anaekosoa ni adui yako.
na usitumie nguvu kubwa sana mpaka ss ni watu gani wanaenda mahakamani kwa kesi za rushwa na ufisad je ni upinzani,saccos,makanisani,misikitini au vikoba? jibu ukilipata utagundua unatumia nguvu nyingi na kauli chafu posipo na msingi.
Hawa wote si walikuwa BOTNaye mkrugenzi wa NIDA kumbe jipu dah! Noma sana
Na ndiyo maana mimi nilifikiri kwa kuwa nchi ilioza sana, kudodosa mambo mengi ya miaka4 nyuma hadi leo naamini hakuna taasisi itakutwa iko clean. Kwa Waislam kwa mfano, mambo yote ambayo yalifanyika wakati wa kuabudu sanamu kula Uarabuni yalifutwa(Maneno ya Farewell Pilgrimage aliyoyatoa Proph Muhammad katika hotuba yake ya mwisho kuwausia Waislam, alisema mambo yote ya zaman ya kuabaudu masanamu yamefutwa na tuko kwenye ukurasa mpya)Kumpata mtu asiye jipu aliye kuwa kiongozi serikalini au katika chama tawala kwa muda mrefu ni vigumu sana kwa mfumo uliokuwepo na unaoendelea. Wanachozidiana ni habari ya fulani kutotolewa hadhani tu. Majipu anayotumbua Magu yana muunganiko mkubwa na anao wapachika kushika nafasi, ni swala la muda tu.
Ninachokiona kwenye serikali ya Mh.watendaji wanaumizwa lakini wanasiasa ambao ndio mafisadi papa wanaachwa.huu ni udhaifu mkubwa alionao rais wetu. Labda kwa sababu kawateua yeye.
Na kwa Wabunge wale kupelekwa Lupango, kama wataamua kuamka na kuisimamia Serikali wakaondoa uvyama, tutasikia mengiMembe aliisema hili suala, sasa hivi hali ni tete , kama wabunge wameshtakiwa, ww unafiki wao watakaa kimya ?