Charles Kitwanga atajwa kuhusika na kashfa ya ufisadi katika Jeshi la Polisi ya sh. bilioni 34

Status
Not open for further replies.
Hata Magufuli tukimchunguza kwa undani, tutagundua ni mchafu kama jalala...
 
Ccm Ni Chafu Japo Walio Wengi Hawakubali
Ni Sehemu Gani Safi Hata Ukitaka Kuchagua
Wote Wameoza Na Kupungukiwa Utukufu Wa Mungu
 


Nijuavyo mimi infosys ni kampuni ya Ali Mfuruki labda kama aliuza!
 
duh hapa nchini ukichunguza sana hakuna aliyemsafi kamwe. maana hata magu mwenyewe alijiuzia nyumba za serikali kwa bei ya kutupwa...
 
You can't be in this clean government of President Magufuli while you have been implicated in any scandal.
If it is true Mr Minister you better submit your resignation while the investigation is going on
We need Tanzania mpya.
 
Yaani vituo 14 tu kati ya vyote vile,hii si madharau jamani?,
watumbuliwe wote bila kuangalia nyago ya mtu,

washaniudhi sasa,bilion 34 za burebure wanajichotea tu
*****
ENDAPO BIL 2 ZILITOSHA PANUA BARABARA YA MWANZA JE 34 ZINGETUSAIDIAJE?
 
..kama watumishi mbali mbali wanavyosimamishwa, na huyu iwe vivo hivyo apishe uchunguzi!!!!!!!!! Kitwanga! Kitwanga! jinsi nilivyomsikia tangu mwanzo, huyu hazipiti siku nyingi amuangushe Mh. Rais, yaelekea ana makando kando ya kutosha!!!
 
Dawa ya kupata clean ministers ni katiba mpya. President Magufuli pitiza katiba ya Warioba ndio itaku safe guard katika mabadiliko unayodhamilia kuleta Tanzania. Utachagua mawaziri walio nje ya vyama vya siasa.
 
....KILIO CHANGU NI HUYU MNYONGE WA KIMA CHA CHINI.
....WAKATI WANAUME WAKIJICHOTEA TU,HUKU MNYONGE AKIKAMULIWA / property tax,kodi ya taka,paye na n.k.
 
Magufuli mweke kando huyo ili TATUKURU wamchunguze.

Izo nyaraka za PAC zinatosha kabisha kuwachukulia hatua za kisheria?? Labda kama PCCB wanawachunguza makabila yao fine!!

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Ali mufuruki ni mmliki wa kampuni tofauti na hyo ilyopo kwny ufisadi! Ilyopo kwenye kashifa ni INFOSYS......... Na kampuni ya ALI MUFURUKI ni INFOTECH. So Kama hujui ktu bora usichangie
 
Sasa mnataka watu wasafi ccm watatoka wapi? Nchi hii Magufuli hataiweza kama ataendelea kutumia watu wale wale! Kama anataka kufanikiwa afukuze mawaziri na makatibu wakuu wote, hapo hapo aagize bunge lipitishe kipengere cha mawaziri huru pia achukue vijana kutoka vyuo vikuu awape majukumu!
 
Tofautisha Kati ya Infosys IPS ya kina kitwanga na KIPILIMBA na InfoTech ya Bilionea Ali Mufuruki
 
Kuna wanasiasa wametajwa kuhusiana na rushwa wiki kadhaa zimepita hatujaona hatua zilizochukuliwa.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…