Charles Magari tokea kuondoka Tanzania, sanaa basi

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Kama mnakumbuka gwiji mkubwa wa sanaa bwana Charles Magari na sauti yake nzito ya mkaruzo wa chini.

Kipindi cha bongo movie ulitamba sana ila Kanumba kufariki tu sijawai kukusikia tena ila nasikia unaishi USA anaposema ndoto zinapotimia.

images%20(40).jpg
 
"Twenty baba , twenty mwanangu umependa utamuoa hujapenda utamuoa "

Mzee ni Moja kati ya Wazee wa hovyo kutokea duniani kwenye karne dume tangu kuumbwa mbingu na nchi na vyote vijazvyo ndani yake . Maisha hayana mwenyewe huwezi kuamini maisha yamemnyookea uzeeni.

Mungu azidi kumpa maisha marefu yaliyojaa Kheri na baraka tele ili azidi kufyetua viwanda Kwa dada zetu wanaopenda watu wa kideo
 
Nimecheka kwa sauti
 
Back
Top Bottom