Charles Magari tokea kuondoka Tanzania, sanaa basi

Charles Magari tokea kuondoka Tanzania, sanaa basi

Baba wa maigizo alifanya ikafa alipoondoka ni KANUMBA TUU
hoja dhaifu na ya kijinga maigizo hata kanumba aliyakuta na kafa mwenyewe watu bado wanafanya na wanapiga hela ma movie hadi netflix sema wewe shabiki yake ndo umekufa kiufatiliaji
 
Kati ya vitu vilinishinda kutazama ni hizo kitu zinaaitwa bongo movie...

Mara ya mwisho kuwa mfuatiliaji wa hizo vitu (wakati huo tukiita tu maigizo) ni wakati wa Mambo Hayo na Kaole (enzi zile za Nyamayao, Muhogo...), Kaole walinifurahisha kwa kuwa scripts zao zilizingatia mno ufasaha wa lugha ya Kiswahili...kina Mwita Maranya na Onyango...
sasa vile hamna kitu ni vile ushamba wa kutaka kuona waswahili wenzetu ndo ilifanya tuwakubali
 
images (2).jpeg
 
waliondoka yeye na Mohamed mwikongi baada ya uchaguzi wa 2015 , Mohamed mwikongi aligombea ubunge kupitia ACT wazalendo segerea na yeye mzee magari aligombea kupitia ACT kinondoni nia yao aikuwa ubunge bali ni political assylum kwenye nchi za ulaya na wamefanikiwa walianza kukaa kwanza UK now ndio sijui walipo pound 5000 kila mwezi kwa ajili ya matumizi yako bado chakula malazi kila kitu unagaramiwa na serikali kwa maisha ya kibongo bongo msanii gani wa bongo movie atakaye kataaa?
Mzee alikua mkaksi huyu in real life.
Alisepa mbele. Ni mjanjamjanja huyu mtani wangu.
 
Ndiyo, akiwa na familia hela inaongezeka lakini hata kama ni familia ya baba , mama na watoto wanne, bado hela yake haitafika US$ 600 kwa mwezi.
Kwa pound 600 kwa mwezi uingeleza unaishi vipi?
 
Kila kitu kina step na watengeneza njia siku wasanii wanapata pata. Naona sasa uwekezaji umeahamia kwenye uigizaji baada ya muziki. Dstv, azam tv, startimes ushindank wao umewafanya watoe mpunga mrefu kwa wasanii ndio maana unaona ramatha anafanya anayofanya kwa sababu ana bajeti kubwa
Tatizo ni kuwa waigizaji ni wale wale. Tanzania inahitaji waigizaji angalau 100,000 hivi.
 
Tatizo ni kuwa waigizaji ni wale wale. Tanzania inahitaji waigizaji angalau 100,000 hivi.
Ukitazama mfano juakali asilimia kubwa ni sura mpya au ramata alizozitengeneza hv karibuni. Sio akina ray sijui wolper sijui nani.
 
Kama mnakumbuka gwiji mkubwa wa sanaa bwana Charles Magari na sauti yake nzito ya mkaruzo wa chini.

Kipindi cha bongo movie ulitamba sana ila Kanumba kufariki tu sijawai kukusikia tena ila nasikia unaishi USA anaposema ndoto zinapotimia.

View attachment 2528192
Huyu alikuwa pia ni Askari Polisi. Mwaka 1992 alishwahi kufika nyumbani kwetu anamtafuta mtuhumiwa fulani
 
Back
Top Bottom