Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo, akiwa na familia hela inaongezeka lakini hata kama ni familia ya baba , mama na watoto wanne, bado hela yake haitafika US$ 600 kwa mwezi.wakisiasa?
sijajua wakimbizi wa kisiasa na wakimbizi wa kawaida kama wanalipwa hela sawa iyo hela niliyoitaja apo mtu wa karibu na Mohamed mwikongi ndio amesema ivyo..
waliondoka yeye na Mohamed mwikongi baada ya uchaguzi wa 2015 , Mohamed mwikongi aligombea ubunge kupitia ACT wazalendo segerea na yeye mzee magari aligombea kupitia ACT kinondoni nia yao aikuwa ubunge bali ni political assylum kwenye nchi za ulaya na wamefanikiwa walianza kukaa kwanza UK now ndio sijui walipo pound 5000 kila mwezi kwa ajili ya matumizi yako bado chakula malazi kila kitu unagaramiwa na serikali kwa maisha ya kibongo bongo msanii gani wa bongo movie atakaye kataaa?
waliondoka yeye na Mohamed mwikongi baada ya uchaguzi wa 2015 , Mohamed mwikongi aligombea ubunge kupitia ACT wazalendo segerea na yeye mzee magari aligombea kupitia ACT kinondoni nia yao aikuwa ubunge bali ni political assylum kwenye nchi za ulaya na wamefanikiwa walianza kukaa kwanza UK now ndio sijui walipo pound 5000 kila mwezi kwa ajili ya matumizi yako bado chakula malazi kila kitu unagaramiwa na serikali kwa maisha ya kibongo bongo msanii gani wa bongo movie atakaye kataaa?
Ndiyo, akiwa na familia hela inaongezeka lakini hata kama ni familia ya baba , mama na watoto wanne, bado hela yake haitafika US$ 600 kwa mwezi.
Umri ni hisiaKwa umri ule,aende akaishi Amerika?
Labda kaenda kwa sababu tofauti,na atarejea kuendekea na maigizo au kuishi tu.
we ujui chochote sasa unavyoona wewemzee magari angemchagua nani awe mbunge tena kutoka chama cha upinzani tena ACT?Wewe ni mjinga na muongo
Aka Ben kanumba kafa na wao ndo Bai baiKuna yule mwamba ahmed abdul kacheza kama (selengo-(big daddy)na bobby-(magic house)) jamaa alikuwa anajua hatari akicheza sambamba na kanumba.
huyo jamaa anajua sanaKuna yule mwamba ahmed abdul kacheza kama (selengo-(big daddy)na bobby-(magic house)) jamaa alikuwa anajua hatari akicheza sambamba na kanumba.
Kila kitu kina step na watengeneza njia siku wasanii wanapata pata. Naona sasa uwekezaji umeahamia kwenye uigizaji baada ya muziki. Dstv, azam tv, startimes ushindank wao umewafanya watoe mpunga mrefu kwa wasanii ndio maana unaona ramatha anafanya anayofanya kwa sababu ana bajeti kubwasema hata hivyo serikali yetu imepuuza sanaa. hakuna walichopata zaidi ya umaarufu walionao.
Nimependa hii techniquewaliondoka yeye na Mohamed mwikongi baada ya uchaguzi wa 2015 , Mohamed mwikongi aligombea ubunge kupitia ACT wazalendo segerea na yeye mzee magari aligombea kupitia ACT kinondoni nia yao aikuwa ubunge bali ni political assylum kwenye nchi za ulaya na wamefanikiwa walianza kukaa kwanza UK now ndio sijui walipo pound 5000 kila mwezi kwa ajili ya matumizi yako bado chakula malazi kila kitu unagaramiwa na serikali kwa maisha ya kibongo bongo msanii gani wa bongo movie atakaye kataaa?
Mbona West Africans sometimes huanza maisha overseas hata katika umri wa utu uzima, hata Asians pamoja na Mexicans pia. Kwanini Wabongo ndiyo mnalazimisha kupangia wengine age limit ya kupambana na maisha. There is a lot he can do at his age, bado hajachelewa alimradi awe focused na it's very likely kule alipokuwa(Bongo movie) aliona anacheza makida na kupoteza muda.Kwa umri ule,aende akaishi Amerika?
Labda kaenda kwa sababu tofauti,na atarejea kuendekea na maigizo au kuishi tu.
Hii Tech walipewa na Banana zoro na yeye alitakiwa kuwepo kwenye iyo list sijui nini kikafanya mpaka akasitisha mipango wenzake now wanazunguka tu duniani uko wanakula bata maisha mazuriNimependa hii technique
Uchaguzi wa 2025 nahama Tanzania kwa style hiiHii Tech walipewa na Banana zoro na yeye alitakiwa kuwepo kwenye iyo list sijui nini kikafanya mpaka akasitisha mipango wenzake now wanazunguka tu duniani uko wanakula bata maisha mazuri
Mahinda mai doutaaa
Magari umekuja kukanushaWewe ni mjinga na muongo
Roma anafanya nini mbeleAisee waliona parefu kama Roma
Roma anafanya nini mbele