Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Duuh hayupo tz tena huyu?Kama mnakumbuka gwiji mkubwa wa sanaa bwana Charles Magari na sauti yake nzito ya mkaruzo wa chini.
Kipindi cha bongo movie ulitamba sana ila Kanumba kufariki tu sijawai kukusikia tena ila nasikia unaishi USA anaposema ndoto zinapotimia.
View attachment 2528192
Kastaafu Sanaa?Mwaka jana nilimuona Saskatoon Canada nikajua anaishi Canada
Baada ya mke wake aliyekuwa anaishi nae hapa Bongoland kufariki, jamaa akasepa zake USA now amaeoa tena hukoHuyu jamaa anafanya kazi zipi huko USA?
Mbna bado anaigiza.Kuna yule mwamba ahmed abdul kacheza kama (selengo-(big daddy)na bobby-(magic house)) jamaa alikuwa anajua hatari akicheza sambamba na kanumba.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] Daah nyie watu mmenikumbusha mbali sana 2005-2010 hivi mbongo movie ilikuwa juu sana.Mahinda mai doutaaa
Uliongea naye? Alisema anafanya nini AmericaMwaka jana nilimuona Saskatoon Canada nikajua anaishi Canada
🤣🤣[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] Daah nyie watu mmenikumbusha mbali sana 2005-2010 hivi mbongo movie ilikuwa juu sana.
waliondoka yeye na Mohamed mwikongi baada ya uchaguzi wa 2015 , Mohamed mwikongi aligombea ubunge kupitia ACT wazalendo segerea na yeye mzee magari aligombea kupitia ACT kinondoni nia yao aikuwa ubunge bali ni political assylum kwenye nchi za ulaya na wamefanikiwa walianza kukaa kwanza UK now ndio sijui walipo pound 5000 kila mwezi kwa ajili ya matumizi yako bado chakula malazi kila kitu unagaramiwa na serikali kwa maisha ya kibongo bongo msanii gani wa bongo movie atakaye kataaa?
Mkimbizi halipwi hela hiyo. Akijitahidi sana ataishia kulipwa US$ 350 kwa mweziwaliondoka yeye na Mohamed mwikongi baada ya uchaguzi wa 2015 , Mohamed mwikongi aligombea ubunge kupitia ACT wazalendo segerea na yeye mzee magari aligombea kupitia ACT kinondoni nia yao aikuwa ubunge bali ni political assylum kwenye nchi za ulaya na wamefanikiwa walianza kukaa kwanza UK now ndio sijui walipo pound 5000 kila mwezi kwa ajili ya matumizi yako bado chakula malazi kila kitu unagaramiwa na serikali kwa maisha ya kibongo bongo msanii gani wa bongo movie atakaye kataaa?
Huyu jamaa ilikuwa ni pure talent kipindi kile, sikuhizi haeleweki kabisa.Kuna yule mwamba ahmed abdul kacheza kama (selengo-(big daddy)na bobby-(magic house)) jamaa alikuwa anajua hatari akicheza sambamba na kanumba.
Moja kati ya vichwa kwenye sanaa ya Tz basi JB chini ya kampuni lake la JERUSALEM FILMS anafanya vizuri.Bado tuna JB jerusalem A.K.A ERICK FORD alitisha sana kwenye ile movie ikapigwa sebenw remix "ERICK FODIII TUMEMUONAAA" Acha kabsa bongo movie ilikua zamani bna[emoji91][emoji91]
sijajua wakimbizi wa kisiasa na wakimbizi wa kawaida kama wanalipwa hela sawa iyo hela niliyoitaja apo mtu wa karibu na Mohamed mwikongi ndio amesema ivyo..Wakimbizi wa wapi wanalipwa paundi 5000 kwa mwezi?
wakisiasa?Mkimbizi halipwi hela hiyo. Akijitahidi sana ataishia kulipwa US$ 350 kwa mwezi