Charles Magari tokea kuondoka Tanzania, sanaa basi

Wewe ni mjinga na muongo
 

Aisee waliona parefu kama Roma
 
sema hata hivyo serikali yetu imepuuza sanaa. hakuna walichopata zaidi ya umaarufu walionao.
Kila kitu kina step na watengeneza njia siku wasanii wanapata pata. Naona sasa uwekezaji umeahamia kwenye uigizaji baada ya muziki. Dstv, azam tv, startimes ushindank wao umewafanya watoe mpunga mrefu kwa wasanii ndio maana unaona ramatha anafanya anayofanya kwa sababu ana bajeti kubwa
 
Nimependa hii technique
 
Kwa umri ule,aende akaishi Amerika?
Labda kaenda kwa sababu tofauti,na atarejea kuendekea na maigizo au kuishi tu.
Mbona West Africans sometimes huanza maisha overseas hata katika umri wa utu uzima, hata Asians pamoja na Mexicans pia. Kwanini Wabongo ndiyo mnalazimisha kupangia wengine age limit ya kupambana na maisha. There is a lot he can do at his age, bado hajachelewa alimradi awe focused na it's very likely kule alipokuwa(Bongo movie) aliona anacheza makida na kupoteza muda.
Kazi ya kuchoma maiti tu anaweza kulipwa 70$ kwa saa hapo akikomaa akawa anapiga masaa ya kutosha kwa siku na asiwe na matumizi yasiyo ya lazima atazichanga sana tu(that's just one example).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…