ChatGPT imekuja kivingine kabisa, sasa unaweza kuiambia ichore picha yote yakifanyika kwa kutumia bando lako la simu

Zipo za kujifunzia lugha?
 
Kaamua kutoa makucha nje baada ya ujio wa deepseek
 
Wabongo bwana mnavyopenda kufikiria utadhani kuna cha maana mnachofikiria [emoji1787]
 
Ingia play store utao andika chat GPT utaona kigurudumu sifa zake inanyota 4.7,review 7m,na inaukumbwa wa mb 24
 
Unasemea mmarekani? Unajua kitu cha mchina kinaitwa DEEPSEEK? Mpaka truml kakikubali alafu wewe unaona chartgpt noma! Uko nyuma sana mkuu!
Hiyo ya mchina deepseek naitumia pia ila bado ipo slow kidogo
 
Nimepakua ziko nyingi ila sijaona inayon
Andika chat GPT utaona zinakuja nyingi ila chagua yenye nyota 4.7 pia Ina review 7m Ina ukubwa wa 24mb
 
Nazidi kuomba msaada nitumie icon yake maana sioni yenye hizo properties
 
ChatGPT inaua Ubunifu na Ugunduzi wa binadamu wa sasa
Hapana mkuu wala haiui.
Hivi unaweza kuimagine ilikuaje miaka ilipogunduliwa calculator, au mara ya kwanza zilipokuja software za kupaint?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…