ChatGPT imekuja kivingine kabisa, sasa unaweza kuiambia ichore picha yote yakifanyika kwa kutumia bando lako la simu

ChatGPT imekuja kivingine kabisa, sasa unaweza kuiambia ichore picha yote yakifanyika kwa kutumia bando lako la simu


Mimi ni mtumiaji WA chat GPT toleo la bure, ingawa akili mnemba nyingi zina uwezo wa kuchora picha lakini hii Chat GPT toleo la Bure ilikuwa haiwezi kuchora lakini naona kutokana na ushindani wa machina na toleo lake la AI Deepseek wamarekani wameiwaezesha hii toleo la bure kuchora kuedit n k.

Unachotakiwa kufanya ni kuipa tu maelekezo kile utakacho.

Wamarekani ni watu na nusu.
Zipo za kujifunzia lugha?
 
Kaamua kutoa makucha nje baada ya ujio wa deepseek
 
Kuna tofauti kati ya innovation na Discoveries kijana

ChatGPT inarahisisha mambo mengi(ni jambo zuri) lakini inawafanya watu kuwa wavivu wa kufikiri na kutafuta njia mbadala wa kutatua changamoto duniani, ni kama Robotics na uzalishaji wa Robots
Hii si kwa TZ tu ni kwa US, UK na kwingineko
Wabongo bwana mnavyopenda kufikiria utadhani kuna cha maana mnachofikiria [emoji1787]
 
Ingia play store utao andika chat GPT utaona kigurudumu sifa zake inanyota 4.7,review 7m,na inaukumbwa wa mb 24
 
Unasemea mmarekani? Unajua kitu cha mchina kinaitwa DEEPSEEK? Mpaka truml kakikubali alafu wewe unaona chartgpt noma! Uko nyuma sana mkuu!
Hiyo ya mchina deepseek naitumia pia ila bado ipo slow kidogo
 
Andika chat GPT utaona zinakuja nyingi ila chagua yenye nyota 4.7 pia Ina review 7m Ina ukubwa wa 24mb
 
Andika chat GPT utaona zinakuja nyingi ila chagua yenye nyota 4.7 pia Ina review 7m Ina ukubwa wa 24mb
Nazidi kuomba msaada nitumie icon yake maana sioni yenye hizo properties
 
ChatGPT inaua Ubunifu na Ugunduzi wa binadamu wa sasa
Hapana mkuu wala haiui.
Hivi unaweza kuimagine ilikuaje miaka ilipogunduliwa calculator, au mara ya kwanza zilipokuja software za kupaint?
 
Back
Top Bottom