ChatGPT imetimiza unabii uliotolewa takriban miaka 2500 iliyopita!!

ChatGPT imetimiza unabii uliotolewa takriban miaka 2500 iliyopita!!

Hashangai ndege iligunduliwa zaidi ya miaka 100 iliyopita, anashangas AI
Nimetaja AI kwa sababu ndiyo habari ya mjini kwa sasa. Ndege, meli, magari nk nk vyote vinatimiza unabii huohuo wa Danieli kwa sababu havikuwepo miaka 2500 iliyopita.
 
If something seems unimpressive to one person, that doesn't mean everyone sees it the same way. Personally, I find the increase in knowledge, especially AI, to be very impressive. And regardless of whether Daniel’s prophecy is seen as banal or unimpressive, it has been fulfilled. Period
You do not even understand what I wrote.

I did not say that the increase of knowledge and AI is unimpressive.

I am saying that predicting the world will increase in knowledge, with time, is unimpressive.

These are two different things.

Do you understand the difference?
 
Nimetaja AI kwa sababu ndiyo habari ya mjini kwa sasa. Ndege, meli, magari nk nk vyote vinatimiza unabii huohuo wa Danieli kwa sababu havikuwepo miaka 2500 iliyopita.
Miaka 2500 iliyopita, wakati unabii huu unatolewa, maarifa yalikuwa yanapungua au yanaongezeka?
Maana muda huo moto na vyombo vya usafiri wa majini viligunduliwa.., je, hayo si maarifa?
 
vyombo vya usafiri wa majini
Vyombo vya usafiri wa majini vya wakati huo vinafanana na meli za sasa zinazoenda kasi? Computer zilivyoanza miaka ya 80/90 zilikuwa zinatumia floppy disks, nani aliyejua wakati huo kwamba computer zitakuja kutumia SSD?
 
You do not even understand what I wrote.

I did not say that the increase of knowledge and AI is unimpressive.

I am saying that predicting the world will increase in knowledge, with time, is unimpressive.

These are two different things.

Do you understand the difference?
Umebadili gia angani! Well and good, I understand the distinction you're making. However, the key point here is that Daniel made this statement thousands of years ago—long before anyone could have foreseen the exponential explosion of knowledge we’re witnessing today. While general progress in knowledge over time may seem obvious now, it was not necessarily so at the time of the prophecy. And yet, what he said has undeniably come to pass.
 
Kumbuka Danieli alitoa unabii huo miaka takriban 2500 iliyopita. Maarifa tunayoyaona leo yalikuwepo?
Kwanini huo unabii haukutimia 1936 kipindi cha ugunduzi wa programmable digital Computer?

Soma vizuri Bible kuna vitu huelewi mkuu
 
Umebadili gia angani! Well and good, I understand the distinction you're making. However, the key point here is that Daniel made this statement thousands of years ago—long before anyone could have foreseen the exponential explosion of knowledge we’re witnessing today. While general progress in knowledge over time may seem obvious now, it was not necessarily so at the time of the prophecy. And yet, what he said has undeniably come to pass.

First things first.

Sijabadili gia angani, wewe ndiye hujui kusoma kwa ufahamu.

Weka maandishi yangu ya tangu awali tuyapitie tuone nimeandika nini, tulinganishe na wewe ulichoelewa.

Tuone kama mimi nimebadilisha gia angani, au wewe ndiye hujui kusoma kwa ufahamu.

The more time you have to work with, the more knowledge will increase. That should be obvious. So why all tye fuss about people predicting tgat the wirld will increase in knowledge thousands of years ago?

That is banal.

Predict that the world will increase in knowledge so much tomorrow.

If that turns out to be true, that will be impressive.

But thousand of years? That is a given, unimpressive.
 
Ila masuala ya kuamini vitabu vilivyo kuja na mitumbwi ni kazi Sana.

.hapo muislamu hajaja na maandiko yake.
.Muhindu nae
. Watu wa Buddha nao.

ila sisi afrika Ina tutesa Sana, tume ikomalia mnooo.
wakati roho mbaya, chuki, mauaji, wizi, ndio sera zetu.
Endelea kujifariji,injili ilianzia Israel, ikaenea asia na ulaya,kwa hiyo sio ajabu injili kuja kwetu na meli ningekuelewa ungesema Mungu aliyeletwa ni wa kufukirika lakini Mungu wa Wakristo ni hai anatujibu maombi yetu hata leo.
 
First things first.

Sijabadili gia angani, wewe ndiye hujui kusoma kwa ufahamu.

Weka maandishi yangu ya tangu awali tuyapitie tuone nimeandika nini, tulinganishe na wewe ulichoelewa.

Tuone kama mimi nimebadilisha gia angani, au wewe ndiye hujui kusoma kwa ufahamu.
Majibu mapya si umeyapata? If so, yaliyopita si ndwele, tugange yaliyopo na yajayo.
 
Endelea kujifariji,injili ilianzia Israel, ikaenea asia na ulaya,kwa hiyo sio ajabu injili kuja kwetu na meli ningekuelewa ungesema Mungu aliyeletwa ni wa kufukirika lakini Mungu wa Wakristo ni hai anatujibu maombi yetu hata leo.
Ameeen
 
Kiranga is your gun still available?, cause I feel like demolishing this homie.
 
Hatujakubaliana yamepita.

Kwanza umekubali hujui kusoma kwa ufahamu?
Huwezi ku-judge hivyo. To speak is not necessarily to be understood. Wewe mwenyewe unashindwa kuelewa unabii wa Daniel 12:4. Tuseme na wewe hujui kusoma kwa ufahamu?
 
Huwezi ku-judge hivyo. To speak is not necessarily to be understood. Wewe mwenyewe unashindwa kuelewa unabii wa Daniel 12:4. Tuseme na wewe hujui kusoma kwa ufahamu?
Hapana, nimeandika clearky. Wewe umeshindwa kuelewa, kwa sababu hujui kusoma kwa ufahamu.

Huo unaosema "unabii wa Danieli" kwanza wala si wa Danieli.
 
Mkuu, umesoma kitabu gani kinachokuambia hivyo
Soma Biblia yako vizuri

Mt 11:13 SUV
[13] Kwa maana manabii wote na torati walitabiri mpaka wakati wa Yohana.

Isaya, Daniel, Ezekieli na manabii wote ulitabiri mpaka Yohana baada ya hap hakuna utabiri mwingine.

Lk 24:44-45 SUV
[44] Kisha akawaambia, Hayo ndiyo maneno yangu niliyowaambia nilipokuwa nikali pamoja nanyi, ya kwamba ni lazima yatimizwe yote niliyoandikiwa katika Torati ya Musa, na katika Manabii na Zaburi. [45] Ndipo akawafunulia akili zao wapate kuelewa na maandiko.
 
@Kiranga is your gun still available?, cause I feel like demolishing this homie.
Aah, let your words and actions reflect peace, not destruction. 'Do not repay anyone evil for evil. Be careful to do what is right in the eyes of everyone.' (Romans 12:17)
 
Back
Top Bottom