Nimetaja AI kwa sababu ndiyo habari ya mjini kwa sasa. Ndege, meli, magari nk nk vyote vinatimiza unabii huohuo wa Danieli kwa sababu havikuwepo miaka 2500 iliyopita.Hashangai ndege iligunduliwa zaidi ya miaka 100 iliyopita, anashangas AI
You do not even understand what I wrote.If something seems unimpressive to one person, that doesn't mean everyone sees it the same way. Personally, I find the increase in knowledge, especially AI, to be very impressive. And regardless of whether Daniel’s prophecy is seen as banal or unimpressive, it has been fulfilled. Period
Miaka 2500 iliyopita, wakati unabii huu unatolewa, maarifa yalikuwa yanapungua au yanaongezeka?Nimetaja AI kwa sababu ndiyo habari ya mjini kwa sasa. Ndege, meli, magari nk nk vyote vinatimiza unabii huohuo wa Danieli kwa sababu havikuwepo miaka 2500 iliyopita.
Vyombo vya usafiri wa majini vya wakati huo vinafanana na meli za sasa zinazoenda kasi? Computer zilivyoanza miaka ya 80/90 zilikuwa zinatumia floppy disks, nani aliyejua wakati huo kwamba computer zitakuja kutumia SSD?vyombo vya usafiri wa majini
Umebadili gia angani! Well and good, I understand the distinction you're making. However, the key point here is that Daniel made this statement thousands of years ago—long before anyone could have foreseen the exponential explosion of knowledge we’re witnessing today. While general progress in knowledge over time may seem obvious now, it was not necessarily so at the time of the prophecy. And yet, what he said has undeniably come to pass.You do not even understand what I wrote.
I did not say that the increase of knowledge and AI is unimpressive.
I am saying that predicting the world will increase in knowledge, with time, is unimpressive.
These are two different things.
Do you understand the difference?
Kwanini huo unabii haukutimia 1936 kipindi cha ugunduzi wa programmable digital Computer?Kumbuka Danieli alitoa unabii huo miaka takriban 2500 iliyopita. Maarifa tunayoyaona leo yalikuwepo?
Umebadili gia angani! Well and good, I understand the distinction you're making. However, the key point here is that Daniel made this statement thousands of years ago—long before anyone could have foreseen the exponential explosion of knowledge we’re witnessing today. While general progress in knowledge over time may seem obvious now, it was not necessarily so at the time of the prophecy. And yet, what he said has undeniably come to pass.
Endelea kujifariji,injili ilianzia Israel, ikaenea asia na ulaya,kwa hiyo sio ajabu injili kuja kwetu na meli ningekuelewa ungesema Mungu aliyeletwa ni wa kufukirika lakini Mungu wa Wakristo ni hai anatujibu maombi yetu hata leo.Ila masuala ya kuamini vitabu vilivyo kuja na mitumbwi ni kazi Sana.
.hapo muislamu hajaja na maandiko yake.
.Muhindu nae
. Watu wa Buddha nao.
ila sisi afrika Ina tutesa Sana, tume ikomalia mnooo.
wakati roho mbaya, chuki, mauaji, wizi, ndio sera zetu.
Majibu mapya si umeyapata? If so, yaliyopita si ndwele, tugange yaliyopo na yajayo.First things first.
Sijabadili gia angani, wewe ndiye hujui kusoma kwa ufahamu.
Weka maandishi yangu ya tangu awali tuyapitie tuone nimeandika nini, tulinganishe na wewe ulichoelewa.
Tuone kama mimi nimebadilisha gia angani, au wewe ndiye hujui kusoma kwa ufahamu.
AmeeenEndelea kujifariji,injili ilianzia Israel, ikaenea asia na ulaya,kwa hiyo sio ajabu injili kuja kwetu na meli ningekuelewa ungesema Mungu aliyeletwa ni wa kufukirika lakini Mungu wa Wakristo ni hai anatujibu maombi yetu hata leo.
Hatujakubaliana yamepita.Majibu mapya si umeyapata? If so, yaliyopita si ndwele, tugange yaliyopo na yajayo.
Kiranga is your gun still available?, cause I feel like demolishing this homie.Endelea kujifariji,injili ilianzia Israel, ikaenea asia na ulaya,kwa hiyo sio ajabu injili kuja kwetu na meli ningekuelewa ungesema Mungu aliyeletwa ni wa kufukirika lakini Mungu wa Wakristo ni hai anatujibu maombi yetu hata leo.
Huwezi ku-judge hivyo. To speak is not necessarily to be understood. Wewe mwenyewe unashindwa kuelewa unabii wa Daniel 12:4. Tuseme na wewe hujui kusoma kwa ufahamu?Hatujakubaliana yamepita.
Kwanza umekubali hujui kusoma kwa ufahamu?
Hapana, nimeandika clearky. Wewe umeshindwa kuelewa, kwa sababu hujui kusoma kwa ufahamu.Huwezi ku-judge hivyo. To speak is not necessarily to be understood. Wewe mwenyewe unashindwa kuelewa unabii wa Daniel 12:4. Tuseme na wewe hujui kusoma kwa ufahamu?
Soma Biblia yako vizuriMkuu, umesoma kitabu gani kinachokuambia hivyo
Mi kanishangaza alipo niambia Mungu wake wa kikristo yupo hai, nika waza vipi ambao wazee wake wali amini yupi?.Athibitishe tu Mungu yupo kweli.
Aah, let your words and actions reflect peace, not destruction. 'Do not repay anyone evil for evil. Be careful to do what is right in the eyes of everyone.' (Romans 12:17)@Kiranga is your gun still available?, cause I feel like demolishing this homie.
Miaka 2500 iliyopita, wakati unabii huu unatolewa, maarifa yalikuwa yanapungua au yanaongezeka?Nimetaja AI kwa sababu ndiyo habari ya mjini kwa sasa. Ndege, meli, magari nk nk vyote vinatimiza unabii huohuo wa Danieli kwa sababu havikuwepo miaka 2500 iliyopita.