Chating za wadada vs chating za wakaka

That conversation is bullshit...whoever crafted it, just wasted his poor time.
 
Mwanangu text ya kwanza ni "We Boya" Nae hunijibu ww nambie "Snitch yule demu wa jana ulikula vitu??" Boys raha sana.
Raha sana Mkuu! Kuna mwana sasa ni Mh, tunavyowasiliana tunajua wenyewe, New Year hiyo;
"Ama kweli zinasaidia na we bwege umevuka Mwaka!!?"
Mh:"Acha ufala dogo unadhani huwa navaa miguuni!?"[emoji23]
Jamaa ni mtu poa down to earth urafiki umekuwa kama ndugu kabisa!
 
Boys raha kwanza ukienda mkoa wwt km kuna mwana lazima umcheki " we bwege njoo unywe bia mpk uzime" mchizi anakunywa na tax anachukuliwa mpk home
 
Hahaha apendeze wapi sura imemkomaa kama anakunya kinyesi cha mapera hahahah chaaaa[emoji23]mguu wenyewe hana anatembea kama anaingia mlango wa leba hahaha [emoji23] ila watu wana mambo dunia hii
 
Naona dada yake na fid Q huhitaji marafiki
Hahah sihitaji marafiki,labda badae wakitokea aje mmoja wa kuongea nae na mwingine wa kumuongelea hahaha....

rafiki wa kweli yukoje?ni mkimya au anayechonga,yule aliyekupa jina,au pengine anayekuponda? anayezuia usidondoke au anayesubiria kukuokota?Au ni yule ambaye ukimuudhi anakutusi kabla hajaondoka? hakuna adui mbaya ka rafiki yako mwenyewe ambaye hajui ka yupo nawe....(in fid's voice)
 
Hahaha apendeze wapi sura imemkomaa kama anakunya kinyesi cha mapera hahahah chaaaa[emoji23]mguu wenyewe hana anatembea kama anaingia mlango wa leba hahaha [emoji23] ila watu wana mambo dunia hii
Hatari mkuu,wanawake hawapendani na ukijaribu kutafuta hasa ninini kiini cha chuki zao huwezi kuona.

Wao ni wapo hivyo huwezi kuwabadilisha.
 
Hizi ID hizi kama za kina Gilesi.. Naona mkuu unachana sio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…