Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Na kweli, tena eti ni baa.Chato yenyewe ndio kupo hivi hayo si ni mabanda ya nguruwe.
cc @ Chagu wa malunde. Ona sasa kazi mnayofanya ?!View attachment 1482608
Hii ndio taarifa mpya kwa sasa , ambapo kabla hata kipyenga hakijapulizwa haya yanatendeka , Je ni nani aliyeagiza upuuzi huu ?
Na kweli,tena eti ni baa.
Kama banda la kuosha mifugo
View attachment 1482608
Hii ndio taarifa mpya kwa sasa , ambapo kabla hata kipyenga hakijapulizwa haya yanatendeka , Je ni nani aliyeagiza upuuzi huu ?
View attachment 1482608
Hii ndio taarifa mpya kwa sasa , ambapo kabla hata kipyenga hakijapulizwa haya yanatendeka , Je ni nani aliyeagiza upuuzi huu ?
Wanafikiri Wanaweza Choma Fikra?
Inatakiwa kumla jicho mshusha bendera mmoja iwe fundisho kwa wengine wenye akili za kwenye korodani.
Bendera ina shida gani?
Vijana wa TISS wanatumikishwa kazi sio zaoView attachment 1482608
Hii ndio taarifa mpya kwa sasa , ambapo kabla hata kipyenga hakijapulizwa haya yanatendeka , Je ni nani aliyeagiza upuuzi huu ?
Mwaka 2014 kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa chadema ilishinda mitaa yote ya jimbo hilo , ikiwemo mtaa anaoishi MagufuliChato hamna chadema ni kujiongeza tu.
cc @ Chagu wa malunde. Ona sasa kazi mnayofanya ?!
Bendera tu zinawatoa ufahamu .
Tukisema Ccm ni ya vurugu hamuelewi, ona sasa !!.
Mwaka 2014 kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa chadema ilishinda mitaa yote ya jimbo hilo , ikiwemo mtaa anaoishi Magufuli
Huo ndio uchaguzi huru na haki.. Msajili wa vyma vya siasa pamoja na IGP wata kuambia hawafanyi kazi kwa mitandao..View attachment 1482608
Hii ndio taarifa mpya kwa sasa , ambapo kabla hata kipyenga hakijapulizwa haya yanatendeka , Je ni nani aliyeagiza upuuzi huu ?
Mkuu, hiyo ni ofisi ya CHADEMAChato yenyewe ndio kupo hivi hayo si ni mabanda ya nguruwe.
The situation must have changed.Mwaka 2014 kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa chadema ilishinda mitaa yote ya jimbo hilo , ikiwemo mtaa anaoishi Magufuli