Johnson Fundi
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 1,386
- 1,207
wajameni mlitaka paweje tofauti na sehemu nyyingine tz?!!? uwanja wa ndege tu umetupigisha makeleleeee!!!. je, chato yote ingebadilika na kuwa kama oysterbay si tungelia kabisa?!!!?. hiyo ndiyo chato na Tanzania yote iko hivyo hata kílimanjaro mabanda kama hayo yapoChato yenyewe ndio kupo hivi hayo si ni mabanda ya nguruwe.