Chato: Bendera za CHADEMA zashushwa na wanaodaiwa kuwa makada wa CCM. Mwanamama Husna Amri Said acharuka!

Chato: Bendera za CHADEMA zashushwa na wanaodaiwa kuwa makada wa CCM. Mwanamama Husna Amri Said acharuka!

Nikiangalia na kusikia aya mambo kua yapo nchini kwetu nalia machozi kabisa...kama tumefikia hatua hiyo si tunaweza ata kukatana mapanga kisa mawazo tofauti ya kisiasa.
MUNGU TUPONYE NA ILI
 
Itakuwa wamechoma wenyewe wanachadema baada ya kuhamia ccm. Hicho kibanda cha baa ndipo ilipo ofisi ya chadema ya wilaya ya Chato!
Ma Dokta na Ma Profesa wa CCM ni aibu tubu kwa wasomi wengine
 
Kuna mtu ndani ya CHADEMA alimuagiza Mbowe alewe chakali kiasi cha kuhisi yuko kwenye chopa akaamua kuruka na parachute akaporomoka kwenye ngazi na kuumiza mguu? Mjinga akiamua kufanya ujinga wake hahitaji kuagizwa na mtu.
Hadithi za watoto wa chekechea. Mlihadithiwa lini vile?
 
Mkuu Mh Rwakatare ndiye aliyetujulisha kuwa mlikuwa na ugaidi, labda mfanye kujisafisha
Mwigulu ndio aliahidi bungeni kutoa ushahidi mbinguni na duniani kuthibitisha ugaidi uliomtia ndani Mh Lwakatare. Mpaka leo hatoa ushahidi hata hapa duniani.
 
uyo mwenye hiko ki bar inaonekana hataki kuendelea kutoa hiduma kwa wateja zake na ndio maana kaweka bendera ya chadema, yaan kwa jins nimjuavyo mimi msukuma atakifunga iko ki bar sasa hv hapa, hawezi vumilia kuona ivyo vibendera vikipepea hapo
Yaonekana wamwabudu
 
Mwigulu ndio aliahidi bungeni kutoa ushahidi mbinguni na duniani kuthibitisha ugaidi uliomtia ndani Mh Lwakatare. Mpaka leo hatoa ushahidi hata hapa duniani.
Juzi kati hapa mh Rwakatare alimwaga mboga kwa kuanika ugaidi alotumwa na mbowe enzi zile
 
Back
Top Bottom