Chato: Bendera za CHADEMA zashushwa na wanaodaiwa kuwa makada wa CCM. Mwanamama Husna Amri Said acharuka!

Chato: Bendera za CHADEMA zashushwa na wanaodaiwa kuwa makada wa CCM. Mwanamama Husna Amri Said acharuka!

Nguo za gaidi huchomwa
Matanga mnapata tabu sana, yaani mmefanya siasa miaka mitano tena peke yenu lakini chadema bado inawapa tabu kiasi hiki! Msichokijua ni kuwa wanaowapa tabu siyo chadema bali ni wananchi ambao hawawataki, ndiyo mana mmefanya kila hujuma juu ya CDM lakini bado mmekwama, hiyo yote ni kwa sababu hamjajua tatizo hasa liko wapi. Chukua hii, tatizo ni wananchi hawaitaki ccm, mtapoteza muda kuhangaika na cdm.
 
Dah nani mwenye yuko na lile shairi la IF We Must Die.... Safi kabisa; ngoja nikutafutie faster
 
IF We Must Die
BY CLAUDE MCKAY
If we must die, let it not be like hogs
Hunted and penned in an inglorious spot,
While round us bark the mad and hungry dogs,
Making their mock at our accursèd lot.
If we must die, O let us nobly die,
So that our precious blood may not be shed
In vain; then even the monsters we defy
Shall be constrained to honor us though dead!
O kinsmen! we must meet the common foe!
Though far outnumbered let us show us brave,
And for their thousand blows deal one death-blow!
What though before us lies the open grave?
Like men we’ll face the murderous, cowardly pack,
Pressed to the wall, dying, but fighting back!
 
Tunapaswa kujihoji. Jana vijana wetu wa UVCCM huko Chato kwa kujiamini kabisa kuwa sisi ni chama tawala na hakuna wa kutufanya kitu wakaamua kupita mitaani na kuanza kushusha Bendera za Chadema.
Kilichotokea na kuonyesha watu hawaogopi kuwa Chato ni nyumbani kabisa kwa mwenyekiti wa CCM, Vijana wetu wakashushiwa kipigo cha nguvu hasa na sasa hivi wako wanapatiwa matibabu.
Jee habari hii ikiingia masikioni mwa wanachama wengine wa vyama pinzani watakuwa na woga tena tukiwaletea ujinga kwa kutumwa na viongozi wetu?
Natoa tahadhari tuache ujinga na kujidanganya kwa kudanganywa na viongozi wetu, hawa jamaa wamechoka sasa na tukiwachokoza wanaweza kutung'oa meno kwa kipigo. Katika RAIA waliopigika na maisha wanao wakubali ni wengi kuliko sisi hivyo twaweza chezea kipigo bure!View attachment 1483393
HII NI HABARI YA KUSISIMUA NA YA NEEMA NYINGI SANA. PEOPLEEEEEEEEEESSSSSS!!!
 

SUNRISE
Jwani Mwaikusa.

Behold!
The sun has arisen,
And with it the sons of the land have arisen too
Forward they go,
Well armed,
Singing praises to the beauty of the sunrise,
With the determination of long-term warriors,
Challenging the enemy
With the courage of a free mind
And the vigour of a clear purpose.
Sit and wait brethren,
Wait and see what glory they bring at sunset;
How they pay homage to the land -
And their people!
 
Km Waziri wa miundo mbinu baadaye Rais na ufisadi woote ule, Madarakani kwa miaka mitano, bado mnaishi kwenye uchakavu hivi! na fikra zenu zimechakaa hamtusumbui.
 
Dalili ya uoga hii, ndiyo wanaipalilia chadema, jipe Muda, chadema itachipukia Chato jirani kabisa na kwa Magu, hata amini macho yake!
 
Back
Top Bottom