Chato: Bendera za CHADEMA zashushwa na wanaodaiwa kuwa makada wa CCM. Mwanamama Husna Amri Said acharuka!

Chato: Bendera za CHADEMA zashushwa na wanaodaiwa kuwa makada wa CCM. Mwanamama Husna Amri Said acharuka!

Chadema kwanini wanapandisha bendera kwenye eneo la Ccm ?
Wachukuliwe hatua mara mara moja
 
Siku zote injustice ina malipo hata rwanda walipoitana cockroach asili haikuwasamehe iliwalipa sawia.
Mkuu Mh Rwakatare ndiye aliyetujulisha kuwa mlikuwa na ugaidi, labda mfanye kujisafisha
 
Blaaaa blaaa blaa sijui blaa blaa.

Hamjajipanga ninyi.
 
Mbona hamna inayochomwa moto? Labda mseme zinashushwa. Pichani hamna inayochomwa moto. Mmeanza kusema uongo ili iweje?
Mmenivunja moyo Mami .
Tukisema wapinzani wana hoja za kulalamika kuhusu usawa wa ki siasa mnawaka. See what is happening now.

Kushusha bendera, kuchoma office zao na kuwabambikia vyesi hakuondoi mapenzi walio nayo kwa chama chao. Wala hakuondoi chuki walio nayo dhidi ya Ccm . Ni ushamba uliotakiwa ukemewe hasa na boss.

Kumbukeni jamaa yetu alipewa na Lubuva only 58%
 
Kwani TANU ilichukua nchi ikiwa na ofisi za namna gani?.
Wewe umelogwa unafananisha hiyo saccoss na TANU, walevi wanatafuna tu ruzuku pale makao makuu ufipa utafikiri zile nyumba ya kulala wageni kule uwanja wa fisi
 
Back
Top Bottom