Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waje wachome na mioyo yetu
Mkuu Mh Rwakatare ndiye aliyetujulisha kuwa mlikuwa na ugaidi, labda mfanye kujisafishaSiku zote injustice ina malipo hata rwanda walipoitana cockroach asili haikuwasamehe iliwalipa sawia.
Wengine wanajipiga nyundo vifundo vya miguuUtakufa na presha.
Wenzako wanakufa na ruzuku.
Mmenivunja moyo Mami .Mbona hamna inayochomwa moto? Labda mseme zinashushwa. Pichani hamna inayochomwa moto. Mmeanza kusema uongo ili iweje?
Wengine wanajipiga nyundo vifundo vya miguu
Unadhani mi maskini Kama wewe?Utakufa na presha.
Wenzako wanakufa na ruzuku.
Wewe umelogwa unafananisha hiyo saccoss na TANU, walevi wanatafuna tu ruzuku pale makao makuu ufipa utafikiri zile nyumba ya kulala wageni kule uwanja wa fisiKwani TANU ilichukua nchi ikiwa na ofisi za namna gani?.
Kweli CDM tishio inapeperusha bendera hadi kijijini kwa jiwe?View attachment 1482608
Hii ndio taarifa mpya kwa sasa , ambapo kabla hata kipyenga hakijapulizwa haya yanatendeka , Je ni nani aliyeagiza upuuzi huu ?
Ila kuna International Airport hapoChato yenyewe ndio kupo hivi hayo si ni mabanda ya nguruwe.