Chato: Bendera za CHADEMA zashushwa na wanaodaiwa kuwa makada wa CCM. Mwanamama Husna Amri Said acharuka!

Chato: Bendera za CHADEMA zashushwa na wanaodaiwa kuwa makada wa CCM. Mwanamama Husna Amri Said acharuka!

Wewe umelogwa unafananisha hiyo saccoss na TANU, walevi wanatafuna tu ruzuku pale makao makuu ufipa utafikiri zile nyumba ya kulala wageni kule uwanja wa fisi
Jielekeze kwenye hoja na jibu swali sio kuporomosha matusi.
Kwani ripoti ya CAG ni chama kipi kilipata hati safi na kipi kilipata hati chafu.
 
uyo mwenye hiko ki bar inaonekana hataki kuendelea kutoa hiduma kwa wateja zake na ndio maana kaweka bendera ya chadema, yaan kwa jins nimjuavyo mimi msukuma atakifunga iko ki bar sasa hv hapa, hawezi vumilia kuona ivyo vibendera vikipepea hapo
 
Enzi hizo Mlezi wa Chadema wa nyuma ya pazia alikuwa anaishi Magogoni na aliwabeba sana maeneo mengi ikiwemo Hai kwa kukifunga Mikono Chama kisitetee jimbo

Na alifanya hivyo majimbo kadhaa ikiweno Kigoma Kaskazin, Hai, Ubungo na Uvinza

Tulimstahi tu lakin chezo lote tulilijua, hata NHC walizuiwa mara kadhaa kuchukua jengo lao la bilicanus

Mwaka 2014 kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa chadema ilishinda mitaa yote ya jimbo hilo , ikiwemo mtaa anaoishi Magufuli
 
Enzi hizo Mlezi wa Chadema wa nyuma ya pazia alikuwa anaishi Magogoni na aliwabeba sana maeneo mengi ikiwemo Hai kwa kukifunga Mikono Chama kisitetee jimbo

Na alifanya hivyo majimbo kadhaa ikiweno Kigoma Kaskazin, Hai, Ubungo na Uvinza

Tulimstahi tu lakin chezo lote tulilijua, hata NHC walizuiwa mara kadhaa kuchukua jengo lao la bilicanus
unalia au unalalamika ?
 
Naionea huruma mama Tanzania, maana huko tuendako tutaanza kubaguana hata misibani
Huko tuendako?

Bado hatujafika huko, au wewe mkuu 'Mmawia' bado unaona tupo njiani kwenye safari?

Basi huko tuendako, ambako picha yako bado haijakuonyesha kulivyo patakuwa ni pa kutisha sana!

Lakini nisikulaumu bure, haya maneno uliyoandika hapa ni dalili tosha kabisa ya mtu kukata tamaa.
 
Ndugu yangu hali inayojionyesha siyo kabisa
Huko tuendako?

Bado hatujafika huko, au wewe mkuu 'Mmawia' bado unaona tupo njiani kwenye safari?

Basi huko tuendako, ambako picha yako bado haijakuonyesha kulivyo patakuwa ni pa kutisha sana!

Lakini nisikulaumu bure, haya maneno uliyoandika hapa ni dalili tosha kabisa ya mtu kukata tamaa.
 
View attachment 1482608

Hii ndio taarifa mpya kwa sasa , ambapo kabla hata kipyenga hakijapulizwa haya yanatendeka , Je ni nani aliyeagiza upuuzi huu ?
Kuna siku inaweza ikatokea ajali; hapo ndipo tutakapoanza kutazamana na kuulizana imekuwaje sasa.

Unakwenda nyumbani kwa mtu, unafanya uhalifu mchana kweupe kwa kiburi tu cha kuwa na madaraka!.

Hivi haya madaraka ndiyo yanayolewesha watu kiasi cha akili kuwatoka kichwani namna hii?
Shaba tano hapo, na wote wanalala chini, halafu mengine yanafuata baadae
 
View attachment 1482608

Hii ndio taarifa mpya kwa sasa , ambapo kabla hata kipyenga hakijapulizwa haya yanatendeka , Je ni nani aliyeagiza upuuzi huu ?
Bila shaka hii picha haitakosekana kuwepo 'Maktaba.'

Na hapo hapo, kuna moja ya Tundu Lissu akichaniwa 'gwanda' kule Nyamongo miaka ileeee!
Jaribu kuitafuta 'maktaba' kuiaandaa kwa kampeni kama atapitishwa.
 
View attachment 1482608

Hii ndio taarifa mpya kwa sasa , ambapo kabla hata kipyenga hakijapulizwa haya yanatendeka , Je ni nani aliyeagiza upuuzi huu ?
"Uchaguzi utakuwa huru na haki,ole wake atakayeleta vurugu" Sasa hao walioshusha bendera wamechukuliwa hatua gani?Je zingeshushwa za ccm mamlaka husika ingeendelea kuuchuna kama ambavyo inauchuna sasa?Haya mambo yatakuja kuleta athari kubwa ktk taifa letu.TUTUMIE AKILI ZETU VIZURI.
 
Back
Top Bottom