wajameni mlitaka paweje tofauti na sehemu nyyingine tz?!!? uwanja wa ndege tu umetupigisha makeleleeee!!!. je, chato yote ingebadilika na kuwa kama oysterbay si tungelia kabisa?!!!?. hiyo ndiyo chato na tz yoote iko hivyo hata kílimanjaro mabanda kama hayo yapo