Chato: Kijiji kilichokaribia kuwa makao makuu ya mkoa-2

Kumtetea Magufuli ni jambo gumu na linahitaji propaganda sana. Hatuhitaji kuwa mtaalamu wa uchumi kujua kuwa Magufuli alifanya ubadhirifu mkubwa wa fedha za umma alifanya miradi mikubwa bila utafiti wa kutosha au ridhaa ya bunge. Miradi ya Chato ilikuwa ya kwake binafsi ipo mingi; uwanja wa ndege, mahoteli, mbuga ya wanyama, etc. Uthibitisho wa miradi hii kuwa ililazimishwa bila kufuata market demand, ni kwamba miradi hii yote imekufa! Hili sio tatizo la covid.

Magufuli alikuwa the wrong president aliharibu uhuru wa kujieleza, watu waliporwa mali zao kibabe, uchaguzi mkuu ulivurugwa vibaya kuwahi kutokea barani Afrika. watu wameumizwa na kuuwawa. Utamdanganya nani kwamba haya yote ni kwasababu ya covid? Magufuli was a catastrophe for our country!
 
Mkwere unamsingizua tu. Zaidi ya kujijengea makazi yake binafsi alifanya nini tena ndani ya Msoga?
 
Wanaomsifia Magufuli ni watoto wa juzi, watu waliokuwa hawana access ya taarifa na watu wazima ambao walikua na maslahi na ujinga wake.

Kwa sisi wengine tunamfahamu tangu akiwa mbunge na waziri na madudu take aliyoyafanya. Tunakaa kimya tu
 
Hivi hayo matrilioni yanayopigwa na mafisadi hamyaoni mkayaandikia kitabu mmebaki kumsema sema marehemu Magufuli kwa chato palikuwa ni Burundi mnajua mnafanya unafiki na chuki nyie vyeti feki, wakwepa kodi, mafisadi,wahujumu uchumi
 
Acha utoto wako
 
Hakuna cheti feki kama Magufuli! Ninajua jinsi akina Dr Akwilapo walivyomfanyia PhD yake pale UDSM department of chemistry tukiwa tunaona!
 
Na kitabu cha mazuri ya Magufuli kiandikwe pia ili kubalance stori maana aliijenga Dodoma,alinunua ndege,hapakuwa na mifumuko ya bei kwenye utawala wake,nchi iliingia uchumi wa kati,alidhibiti,wala rushwa na mafisadi,alijenga hospital ya mwalimu Nyerere iliyoshindikana miaka 40 , alinunua rada 3,alifungua balozi 6, alijenga barabara sehemu mbalimbali,aliweka mradi mkubwa wa maji Arusha,alianza ujenzi wa bwawa la umeme la stigler gauge,
 
Na kumchafua Magufuli kunahitaji propaganda sana na upotoshaji mkubwa maana ana mazuri mengi mno na mara nyingi ukimuona mtu anaandika habari mbaya kuhusu Magufuli ni wale vyeti feki, wakwepa kodi, wadhulumaji, mafisadi, wezi, walamba asali, majizi, wauza ngada mimi sioni faida ya huu uharo mnaoufanya mitandaoni kumchafua Magufuli ili hali huo uhuru wa vyombo vya habari haujaondoa ufisadi mkubwa unaofanyika leo maisha magumu kwa watanzania
 
Wanaomsifia Magufuli ni watoto wa juzi, watu waliokuwa hawana access ya taarifa na watu wazima ambao walikua na maslahi na ujinga wake.

Kwa sisi wengine tunamfahamu tangu akiwa mbunge na waziri na madudu take aliyoyafanya. Tunakaa kimya tu
Huyu mpaka ukoo ulimtenga...
 
Unaweza kutaja jambo moja tu zuri alotenda Magufuli?
 
Mkwere aliendeleza kitu gani kwake?
 
Asante tena kinachofanya Hao watetezi wa Udhalimu wa Magufuli ni kwa sababu wengi walishirikiana nae kutenda hayo maovu kwa hiyo wanapinga kwa kujitetea wenyewe Ufirauni na ufedhuli wake inabidi uwekwe wazi ila baadae akatokea mwingine watu wasijifanye hawakujua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…