Chato: Kituo cha Polisi Muganza chachomwa moto na wananchi kupinga mauaji ya mtuhumiwa anayedaiwa kusababibishiwa kifo na Polisi

Unampigaje mwizi wa betri mpaka kupoteza maisha, akiwa mikononi mwa Polisi..?
 
ningekuwepo ningehakikisha naondoka na roho ya Polisi wajinga sana hawa watu sijui walilaaniwa na nani mbwa hawa
Unapoondoka ns roho yao wao wanakuangalia tu na kukuchekea kama mtani wao?
 
Bodaboda ni bomu, siku likiripuka lote kwa pamoja, inchi haitatawalika, endeleeni tu kucheka nao

Polisi nao ni boom vile vile ila ni welevu na ujanja tu wa kisheria ndio huwalinda,

Tunahitaji kusafisha mfumo mzima sasa
 
Safi sana. Hii ni progress dhidi ya uonevu.
 
Bwanga ndio pamekaa strategically kuliko katoro
Naunga mkono hoja, kambi ya polisi ghasia ingewekwa Bwanga ambapo ilikua rahisi kufika Katoro, Nampalahala-Runzewe, Kasamwa-Geita, Kashelo-Bukombe hadi Mbogwe-Masumbwe.
Ukweli pale Kasamwa iliwekwa ghasia kwasababu ya ujambazi uliokua ukifanyika miaka ileee kati ya pori la Geita na Kasamwa.
Kwasasa mji wa Geita umekua na yale mapori tayari yalisha kua makazi na tayari Kasamwa imesha ungana na Geita.
Kijografia Kasamwa ipo pembezoni sana mwa Geita karibu kabisa na Sengerema kuelekea Mwanza.
 
Uko sahihi kabisa mkuu
 
MPaka uyo marehemu anafikishwa makabulini inamaana taarifa ya daktari ishaandikwa na ushaidi namba moja kuhusu kifo chochote ni taarifa ya daktari. Hta kma marehemu amezikwa watu wanaangalia taarifa ya daktari inasemaje
Sio kweli mkuu....
Ikiwa familia haija ridhika ama imetilia mashaka taarifa ya Dr, basi wanaweza wakafanya uchunguzi upya hata kama walisha zika watapata kibali maalum ili kufukua maiti na kurudia kufanya uchunguzi.
 
Polisi imegeuka kikundi cha kigaidi ndani ya nchi.
 
IGP wa sasa sijajua anasubiri nini kumuonda RPC Mkoa wa Geita kaxini kupisha uchunguzi?

Mama Samia naye kapiga kimya kuhusu hili tukio na anataka kura kutokea kanda ya ziwa mwaka 2025
 
Kwanza RPC na IGP wahakikishe hao waliochoma hicho kituo wanakamatwa na wanatapika pesa ya kujenga kituo kipya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…