peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Mwenye picha ya RPC mkoa wa Geita tafadhali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sioni umuhimu wa hao watesaji. Nenda kituo cha Police kama umeibiwa. Watakutoa fedha za kufanya upelelezi wa tukio mpaka utakoma kwa usumbufu. Uliyeibiwa utakuwa kama mwizi sasaPolisi walitakiwa wajiletee heshima,hivi kweli raia wanachoma kituo cha polisi,mnawaona?
Itafika mahali wataingia aachukue silaha kwenye ghala,endapo hatua hazichukuliwi.
Wamechoma kituo,inabidi wakae bila askari kwa miaka kadhaa,waone endapo askari wana umuhimu au la.
Wamechoma tena?IGP wa sasa sijajua anasubiri nini kumuonda RPC Mkoa wa Geita kaxini kupisha uchunguzi?
Mama Samia naye kapiga kimya kuhusu hili tukio na anataka kura kutokea kanda ya ziwa mwaka 2025
Wamechoma tena?
Long way to go,Chato: Kituo cha Polisi Muganza chachomwa moto na wananchi kupinga mauaji ya mtuhumiwa anayedaiwa kusababibishiwa kifo na Polisi
Ila watanzania!!!!www.jamiiforums.com